princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Aslaam aleikyum wanajamvi,
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wanafamilia wote wa CMG kwa kuondokewa na Watu wawili muhimu (Ruge&Kibonde), kazi yake mola haina makosa.
Let me back to the business,kwa waskilizaji wazuri wa Clouds FM lazima watakua wanaijua hii sauti, kuna sauti nzito kama uji na yakitofauti hua inaskika zaidi ya 80% kwenye vipindi vyote vya Clouds FM, sauti ya huyu dingilii inatumika kwenye vipindi vyote iwe kwenye Jingles, Sign tune, Sweeper, Enter programs, Promo nk.
Ata sasahivi sauti yake inaskika sana kuhusu kifo cha kibonde ikisema"Emphraim kibonde wewe ni sura halisi ya utamaduni wa Clouds, Kurasa za Kibs", Jingles na Enter program zake ni 1: Ekstraa Ekstra Laajii. 2: Jahazi la Clouds FM mdogomdogo hadi saa moja. 3: Leeo tenaa. 4: Njia panda na Dr.Isaac Maro
Pia Sweeper zake ni 1: Mbili tano tano, 2: Mastori ya Town, 3: Heka heka Unlimited nk. Pia Frequency zote za Clouds FM katika mikoa yote Tz huzitaja yeye mfano 88.1MHz Clouds.
FMArusha/Mwanza,87.5 MHz Clouds FM Shinyanga,104.4MHz Clouds FM Dodoma. Zamani hii sauti ilikua ikisikika ikisema"CLAAAAUUUUZZZ FM. Naombeni wanajamvi mnijulishe huyu jamaa anaitwa nani na yuko wapi saivi na kwanini hana kipindi pale mawingu?
Asanteni
@ChaliiYaKijengeJuu.