Kwa wanaume Tu!

Inatakiwa uangalie na uongo wenyewe sasa huo alioufanya huyo mwenzio una faida au hasara?
Ye kaona una faida ndo maana anasema huyo demu sahv ndo anampigia jamaa simu na SMS kila SAA kisa tuu kadanganywa et kuna zawadi ameandaliwa... Dah sasa hapo kaz c ishaisha .....labda jamaa ashindwe kumalizia hiyo movie
 
Ebu badilisha heading na uweke KWA WAVULANA TU.
Kimsingi hakuna mwanamume mwenye tabia za kijinga kama hizi aiseeeee.........
 
Kuna kisa nimekipitia wiki hii kimenipa funzo! Kuna demu mmoja,alikuwa anasumbua Halmashauri yangu ya ubongo balaa...Kila siku napiga simu mimi tu,halafu hata majibu yake kama huna moyo wa plastic unaweza ukahama mtaa aisee. Juzi nikamwambia kuna zawadi nimeshailipia 150000 mwezi ujao namalizia nikuletee nikampa na sababu lukuki. Amazing! Toka hiyo juzi simu napigiwa mimi tu,hizo sms kwenye hii simu yangu ya Tochi inabidi nifute ili ziingie tena.....Masikitiko yangu ni kwamba hakuna zawadi yoyote niliyolipia. Ila nawaahidi sitamwacha,kwa jinsi alivyoninyanyasa hakuna namna!!!!Kiboko yao Tai tu...hata kama una buku mfukoni.
Tai,moka,marashi makal,simu kubwa.utawamaliza
 
Ye kaona una faida ndo maana anasema huyo demu sahv ndo anampigia jamaa simu na SMS kila SAA kisa tuu kadanganywa et kuna zawadi ameandaliwa... Dah sasa hapo kaz c ishaisha .....labda jamaa ashindwe kumalizia uzi
Shida sio kupigiwa je hicho kilichomfanya apigiwe anacho?
 
Shida sio kupigiwa je hicho kilichomfanya apigiwe anacho?
Wanawake asilimia kubwa wanapenda vitu vizuri ... So ukimshawishi kupitia vitu vizur vizur hata km umeazima ..ni rahisi kumpata...ndo maana unaona mjin wanapewa magar ya kulia bhata bila card mwisho wa siku baada ya kutumika wananyang'anywa Mali za watu wanabaki na njaa zao..*note sio wote wako hivyo ila wengi wao
 
Tena wanavimbishana kichwa bila kuwaza faida na hasara hapo wanajua mwenzao kapata kumbe kajitengenezea mazingira ya kudharaulika na kukosa ata hicho alichokikusudia.

Asikuwazishe huyo achana naye na story za kutunga, vipi weekend ilikuwaje?
 
Wanawake asilimia kubwa wanapenda vitu vizuri ... So ukimshawishi kupitia vitu vizur vizur hata km umeazima ..ni rahisi kumpata...ndo maana unaona mjin wanapewa magar ya kulia bhata bila card mwisho wa siku baada ya kutumika wananyang'anywa Mali za watu wanabaki na njaa zao..*note sio wote wako hivyo ila wengi wao
Afadhali hao wanakuwa hawajadanganya wametumia mbinu zinazoonekana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom