Kwa wanaume tu: Wanaofunua wasichana na kuwaacha

Samahanini wanaume mana nimeshindwa kuvumilia.
Hii kitu inaumiza,ikinikuta mimi ni bora nikutaftie sumu ya panya.
hata mungu anajua
Mbona wazungu wanamkataba wa 5 years mnagongana mkichokana kila mtu anachukua 70 yake mnajiondokea
 
Ngoja nibake uzi japo mtoa thread amesema ni mahususi kwa wanaume, ila nakupongeza umenena kweli tupu, waambie wanaume wenzio
-Kosa la kwanza umebaka
-Kosa la pili umetukatisha mazungumzo yetu wanaume.
-Kosa la tatu umevaa khanga moja halafu umejipitisha
**haya jichagulie adhabu**
 
We ni chizi kweli.

Mtu hujamuoa unamtunza na Wazazi wake wakiwa wapi?
Watu ambao hawajaenda Jandoni utawajua tuu.

Eti Mwanaume halis!! au hujaielewa Mada?

Nyie ndio wale hodari wa kuhonga dhaifu kitandani. Mnaowachukulia wanawake ni zaidi ya chochote.

Hapo isikute hata Mamaako humpi pesa, Kanisani au Msikitini hutoi Sadaka wala Zaka. Kazi kuendekeza Upumbavu.

Wanaume kama wewe ni bure kabisa.

Pole kwa upoyoyo na Upopoma

Mwanaume halisi ana mtunza mke/mpenzi wake na kutimiza wajibu wake. Kama huna pesa nakushauri acha kusumbua wanawake na ongeza bidii kwenye kutafuta pesa kwanza na maombi, until then utakua mvulana na si mwanaume.

Wavulana nyie wa siku hizi mnalalamika kuombwa pesa mnataka nani aombwe sasa!! Mtapakatwa siku
 
Mbona wazungu wanamkataba wa 5 years mnagongana mkichokana kila mtu anachukua 70 yake mnajiondokea
Hao ni wazungu, na kabla mtu hajaingia kwenye hayo makubaliano anajua nipo na huyu kwa miaka 5 baada ya hapo kila mtu anapita na mia.
Sasa huku kwetu mtu anakupa ahadi kibao, alf mwisho wa siku anakuacha, unadhani utamfanya nini?
 
Kwa wanaume tu: kasema mleta uzi sijasema mimi
 
Wanawake wanatenda vibaya sana kaka so usimhurumie sana mwanamke katika suala hili LA mapenzi jombaaa atakufanya bwege weeee endelea na huruma zako za kijinga
 
Hawa wa sasa wako tofauti, wale wa kipindi cha nyuma nakuunga kwa nguvu zote.......Wasasa hata kama kila siku mnafunuana na mkadumu miaka mitano mkiwa kila siku mnafunuana...ukimuacha ANAKUAMBIA WALA SIJALI WE ACHA TU KWANI NINI!......Hana habari na wewe.......acha kuleta faraja.. Kila mmoja ni mzuri kwasasa na anaona hawezi kutishwa na kamwanaume kamoja!
 
Mwanaume halisi ana mtunza mke/mpenzi wake na kutimiza wajibu wake. Kama huna pesa nakushauri acha kusumbua wanawake na ongeza bidii kwenye kutafuta pesa kwanza na maombi, until then utakua mvulana na si mwanaume.

Wavulana nyie wa siku hizi mnalalamika kuombwa pesa mnataka nani aombwe sasa!! Mtapakatwa siku

Ni kweli Mkuu, lakini mpaka nioe
 
Tatizo mnajadili sana kuachana kuliko kuimarisha mahusiano yenu. Na ndio mana mnafirisiwa kijinga jinga
 
Hao ni wazungu, na kabla mtu hajaingia kwenye hayo makubaliano anajua nipo na huyu kwa miaka 5 baada ya hapo kila mtu anapita na mia.
Sasa huku kwetu mtu anakupa ahadi kibao, alf mwisho wa siku anakuacha, unadhani utamfanya nini?
Sasa we ke umetoka wapi kwenye huu uzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom