Kwa wanaume tu: Wanaofunua wasichana na kuwaacha

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
NAIRUDIA HII KWAAJILI YAKO WEWE!

Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,

Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,

mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??

Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??

Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
[HASHTAG]#Ninajali[/HASHTAG]

Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
 
NAIRUDIA HII KWAAJILI YAKO WEWE!

Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,

Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,

mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??

Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??

Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??

Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
[HASHTAG]#Ninajali[/HASHTAG]

Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
Mkuu, wapo wanaume waliozaliwa wanafahamu fika faida na thamani ya mke, ila wapo pia wanawake wanao take advantage hiyo kuwaburuza wanaume hao hao jinsi watakavyo.
Wakati mwingine ukiona mtoto wa kike anachezewa wala usimuhurumie sana.
Love is chance anaepata kapata na anaekosa kakosa.
 
Unajifanya una huruma sana na wanawake sio....
Kalagabaho na huruma zako...

Mie nilianza kumgonga demu tangu akiwa 15 years... GONGA weeee.... Nikaja nikamtema....

Moja ya sababu zinazo fanya tuwapige chini mademu uchwara ni "upigaji mizinga ovyo"

Mfyuuuuuuuu (msonyo wa kike)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mwanaume anaelalamika kuombwa pesa na mpenzi wake sio mwanaume kamili Period. Unataka amuombe nani sasa!! Au unataka wewe ndiyo upewe, utakuja pakatwa.

Mwanaume ni majukumu na kumtunza mpenzi wako ni jukumu lako. Man up timizi wajibu wako au acha kusumbua wanawake. Utakuja pakatwa kwa kutaka upewe pesa wewe.
 
Utakufa masikini kwa kuendekeza kutunza wanawake msengerema wewe!!!!

Kalagabaho na ujuha wako sasa!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mwanaume halisi ana pesa za kumtunza mke wake na kutimiza majukumu mengine yote kama Baba yako alivyomfanyia Mama yako au Baba yako nae alikua analelewa na Mama yako. Utapakatwa kijana kwa kutaka uhudumiwe wewe kama bado hupakatwi as of yet
 
Miaka mitano PHD??
Only six months!
Kama hamna dalili za kueleweka tembea
Miezi 6 ni mingi kabisa kujua anakufaa au hakufai
 
Ngoja nibake uzi japo mtoa thread amesema ni mahususi kwa wanaume, ila nakupongeza umenena kweli tupu, waambie wanaume wenzio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom