kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,053
hahahaha! kwahiyo kauliza na kujijibu!! watu ni mafundi hatariAlisahahu tu kubadilisha flow ya maandishi yake!
hahahaha! kwahiyo kauliza na kujijibu!! watu ni mafundi hatariAlisahahu tu kubadilisha flow ya maandishi yake!
!!Kwa jinsi ulivyoisifia Chanika nilijua tu lazima uwe Dalari?.we jamaa muongo sana yani Chanika ulinganishe na Tabata?.
Yaani watu wajanja wajanja tu, wanaanzisha uzi alafu wanaulizana wao kwa wao na kujijibu wao kwa wao na kuuziana wao kwa wao doo!!Dhumuni lao wanafanya udalali wa kuuza viwanja!
Unatumia vigezo vipi kufikia conclusion hiyo? Lakini, mbona hiyo inayofanyika ni approach nzuri tu katika kutafuta hela?Wanafanyaga upuuzi kama huo ni wale mliojiunga jf 2015 - 2016..
Wewe ndie unayekurupuka,kaulizia pia na fulsa zinazopatikana..sasa kilimo cyo fulsa cyo lazima kila kitu uchangie na hata kama ningekuwa nimekurupuka ilitakiwa yy ndie anishushue cyo ww,au nyege xa nyuma zinakusumbua?Acha kukurupuka. Soma vzuri Uzi wa Mleta Habari. Yeye anataka sehem ya kujenga kibanda cha kuanzia Maisha. Sasa mambo ya kulima mihogo inatoka wapi!? Kwani kaulizia anataka Shamba!?
Dhumuni sio kipaumbele,wewe utakua CCM si bure."Kipao mbele changu cha kwanza Elimu,Cha pili Elimu,Cha tatu Elimu"..E.N.LOWASA 2015
Nmeshamshangaa sana huyo jama kuulizia majo ua dawasco chanika?Kwa taarifa tu. Ukonga yote, Haina Maji ya Dawasco. Wote wanatumia Maji ya visima.
Namanisha kuwa kama hapo Ukonga penyewe hawana Maji ya Dawasco, it's obviously that hata goms/Pugu hadi Chanika hakuna hata Ofisi ya Dawasco.
Sorry. Nmeifananisha na Tabata kwa Minajili ya Kiusalama. Tabata imeshamiri sana Matukio yanayosasehemu. na Wahalifu ukilinganisha na Chanika. Huku matukio ya Uhalifu ni nadra sana kutokea kulinganisha na Tabata yote hadi Segerea.
Chanika bado polini hata waizi hawawezi kuwepo maana labda wakaibe miti.mara ingine tangaza biashara tu tutavutiwa nayo nakupenda Chanika ila mara ingine usilinganishe hizo sehemu.Tabata imeshaizidi hadi Sinza.ntakutafuta mkuu
Asante mkuu..Hongera kwa kuwa na na wazo la kujenga,wengine mpaka Leo bado wanababaikia churaz/matako bandia ya akina Wema Sepetu,Jack Wolper huku wakiishi nyumba za chumba sebule Sinza....kweli kupanga ni kuchagua aisee.
mi nmeishi chanika kama mwezi hivi na nilikua naenda chuo mwenge daily.. aisee kama huna usafiri binafsi usithubutu kwenda kule maana nusu ya maisha yako yatakua ni kwenye daladala.. but ni sehemu nzuri sana ya kuishi,hakuna wizi wala figisu figisu tatizo ni mbali sana hasa kwa usafiri wa daladala
Mtarudi Kwa Utaratibu Upi?? Ngojeni Ndalichako Afanye Uchunguzi Ili Tutoe Vilaza KwanzaDuuuh mpaka leo sielew
Hongera kwa kuwa na na wazo la kujenga,wengine mpaka Leo bado wanababaikia churaz/matako bandia ya akina Wema Sepetu,Jack Wolper huku wakiishi nyumba za chumba sebule Sinza....kweli kupanga ni kuchagua aisee.