SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
Hivi huu uzalendo wako umeanza lini na vipaumbele vya nchi ni vipiThis is not our priority at all.
Mimi na yule tutaitumia hii ndege lakini kuna watu wanakufa kizembe sababu ya dawa huko hospitalini.
Maji safi na salama bado ni kitendawili katika nchi ambayo inalazimisha kukimbia wakati hata kusimama dede bado.
Hatukatai maendeleo ila yafuate vile vipaumbele ambavyo vitamgusa na kumnufaisha hata yule bibi wa kule Kolomije.