Kwa wahanga wa mapenzi/kupenda

Mimi naona ni muhimu sana kumuomba Mungu kutupa hekima katika Mahusiano,na atuonyeshe kusudi lake katika maisha yetu na hao wenza wetu,tuwe wavumilivu na kujizuia kufanya mambo Mengi kabla ya ndoa ,mara nyingi huwa tunajisahau na tunamsahau Mungu katika Mahusiano yetu na kuyabariki kuwa ni ndoa na kufanya mambo yote yanayohusu ndoa kwa Watu ambao Sio wake/waume zetu,kiroho ni kosa lazima tufanye toba na kubadili namna ya kuhusiana ili kupunguza vilio vya mapenzi maana kwa mfumo huu tunatengeneza vizazi ambavyo havitaamini katika mapenzi ambayo ni muhimu
 
unaweza kumcha Mungu ukamweshimu mpenzi wako na akakusaliti ndani ya ndoa what then? don't trust your partner though you love her/ him.
 
Back
Top Bottom