radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Ndio utatolewa ki vyama na wote watakuwa CCM! Mna kingine?
tumbo linahusika kufikiria na sio ubongo.;->;->;->
Ndio utatolewa ki vyama na wote watakuwa CCM! Mna kingine?
Never argue with an idiot.tumbo linahusika kufikiria na sio ubongo.;->;->;->
Pole ndugu yangu hata mm ni mojawapo kati ya wanyonge tuliohaidiwa neema ktk hii nchi.Kwa kweli nashindwa kabisa kuelewa meas maskin tutazdi kuwa mskini tu,na s chaguo la wanyonge kabisa ni fadhila gan anazpzilipa kwa watz tulio wng?natamani kulia askie kilio chng lkn nashindwa,ajira za kimaskini,ualimu,afya,askar ,znayumba na hatma haijafahamika lkn anateua had ma das jaman ,sasa wasom waende wapi? Mmh ay bhana
Mambo haya siyo ya kawaida na nafikiri limefanyika ili mkubwa aweke watu wake serikalini.Haiwezekani nafasi ambayo inahitaji watu waliosomea lakini pia wawe na uzoefu mkubwa wa kiutendaji serikalini lakini leo hii mtu anaamua kuweka watu wake kwa kisingizio cha kuirekebisha Nchi. kinacho nishangaza mimi nikuona hata marais wastaafu wanamwangalia tu afanye atakavyo, kwanini hawamwambii hapa sasa umekosea! mwisho wa udikiteta ni dhiki kuu kwa kila mtu! sitashangaa kuona hata nafasi zingine za kiutumishi atafanya uteuzi yeye.Watanzania lazima tusimame na tuseme hapana inatosha.
Yaani kifo cha ccm ndio toba ya nchi yetu kusonga mbele kimaendeleoHii nchi ni ya ovyo, ovyo kabisa.
Unacomment tu kama umetoka kula uharo chooniNdio utatolewa ki vyama na wote watakuwa CCM! Mna kingine?
yaani huo ni ubaguzi! ukitenda dhambi ya ubaguzi mwisho wake ni dhiki kuu.ubaguzi ni zaidi ya kula nyama ya binadamu, madhara yake ni makubwa na ni dhahiri huwa hayatibiki.Leo watu wanafurahia kwa kuwa mkuu wa Nchi kaamua kugawa kazi zote za umma kwa makada wa chama chake!! iko siku watajibu kwanini walitenda dhambi hiyo.Mi mtoa mada ni mwanachama wa CCM na kabla nilikuwa mwanaTANU tangu 1976 yeyote asidhani mimi ni mwanachama wa chama chochote cha upinzani, kwa hiyo nisishambuliwe kwa mtazamo kwamba nimeandika kwa chuki kuishambulia serikali kama mpinzani.
Lakini watanzania wenzangu, kama kuna anayedhani utaratibu huu wa kulimbikiza ajira kwenye mgongo wa chama kimoja utazaa matunda mazuri atakuwa anakosea sana tena sana si kidogo, mkuu wa nchi hawezi kugeuza ajira za kitaalamu kuwa za kisiasa na bado tukafikiri anatuweka nchi kwenye hali ya matumaini chanya.
Mifano iko mingi, aslani hakuna mtawala aliyetumia mtindo huu akafanikiwa, sijui serikali yetu imeuiga kutoka wapi huu.
Marais kama Saddam wa Iraq, Nicolae Ceassescou wa iliyokuwa Romania, Mobutu wa Zaire na wengine walioujaribu mtindo huu hakuna aliyefanikiwa ila walijenga chuki kubwa miongoni mwa wananchi, maana hii haitofautiani sana na udini.
YANGU MACHO!
Mkuu hawa watu siwaelewi wangechaguliwa wengi ambao hawana chama chochote ungesika JPM amewatosa CCM wanaisoma namba,au JPM anapendelea wache waongea kikubwa hapa ni kazi tuNdio utatolewa ki vyama na wote watakuwa CCM! Mna kingine?