Kwa Upuuzi huu wa Waafrika, kwanini tusidharaulike tu na Wazungu miaka yote?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,929
119,085
75% ya Nishati ya Umeme uliopo nchini Ufaransa unatokana na Madini ya Uranium yaliyoko nchini Niger.

Na Kihistoria nchi ya Niger imeingia Mkataba wa muda mrefu (kuanzia miaka 50 hadi 100) ya kuruhusu Madini yake ya Uranium yatumiwe na nchi ya Ufaransa tu huku Ufaransa ndiyo wakiwa Wapanga Bei ya Mauzo ya Madini hayo kwa Niaba ya Serikali ya Niger kwa Mataifa mengine.

Cha Kushangaza zaidi na kinachoonyesha kuwa huenda Waafrika tulishalaaniwa Ubongo na Muumba baada ya kugundua hatubadiliki hata tukisaidiwa na Kilichoniumiza GENTAMYCINE ni kwamba pamoja na Nchi ya Niger kuwa na Utajiri huo wa Madini hayo ya Uranium yanayozolisha Umeme mkubwa nchini Ufaransa (Taifa Kubwa na Tajiri) wao (nchini Niger kwenyewe) yanakotoka kuna Tatizo Kubwa la Umeme na kwamba ni 38% ya Wananchi wake wanapata huduma ya Umeme ila 62% yao wako Gizani kiasi kwamba wanazidiwa na hata Kijijini Kwetu Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara (Musoma) ambako kuna Umeme wa Kutosha hadi hata Ng'ombe zangu nimezifungia Taa Zizini ili wawe Wanaonana na Dume likitaka Kupanda ili kuniongezea Utajiri wa Ndama basi aweze Kumuona Jike mzuri wa Kumchapa nao na abebe Mimba.

Na kuonyesha kuwa Waafrika tumeshalaanika na Upumbavu (Upopoma) kuna Taifa Moja (nimelisahau Jina) nalo linataka Kupunguza Miaka ya Wanafunzi wake Kusoma kutoka Saba ya Kitaalamu kwenda katika Sita wakijidanganya kuwa Wataimarisha Elimu yao huku wakiwa Wamesahau kuwa tatizo Kuu (Mama) la Elimu yao siyo kwa Wanafunzi bali ni Walimu Wabovu (Failures) na Miundombinu hafifu.

Acheni tu Wazungu watudharau Ok?
 
Umesahau kuandika taifa ulilosahau jina lake nalo linataka kuingia mkataba wa kinyonyaji wa kudumu ili bandari zake achukue bwenyenye mmoja duniani awe anafaidi kwa ufanisi kuliko wenye bandari
 
75% ya Nishati ya Umeme uliopo nchini Ufaransa unatokana na Madini ya Uranium yaliyoko nchini Niger.

Na Kihistoria nchi ya Niger imeingia Mkataba wa muda mrefu (kuanzia miaka 50 hadi 100) ya kuruhusu Madini yake ya Uranium yatumiwe na nchi ya Ufaransa tu huku Ufaransa ndiyo wakiwa Wapanga Bei ya Mauzo ya Madini hayo kwa Niaba ya Serikali ya Niger kwa Mataifa mengine.

Cha Kushangaza zaidi na kinachoonyesha kuwa huenda Waafrika tulishalaaniwa Ubongo na Muumba baada ya kugundua hatubadiliki hata tukisaidiwa na Kilichoniumiza GENTAMYCINE ni kwamba pamoja na Nchi ya Niger kuwa na Utajiri huo wa Madini hayo ya Uranium yanayozolisha Umeme mkubwa nchini Ufaransa (Taifa Kubwa na Tajiri) wao (nchini Niger kwenyewe) yanakotoka kuna Tatizo Kubwa la Umeme na kwamba ni 38% ya Wananchi wake wanapata huduma ya Umeme ila 62% yao wako Gizani kiasi kwamba wanazidiwa na hata Kijijini Kwetu Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara (Musoma) ambako kuna Umeme wa Kutosha hadi hata Ng'ombe zangu nimezifungia Taa Zizini ili wawe Wanaonana na Dume likitaka Kupanda ili kuniongezea Utajiri wa Ndama basi aweze Kumuona Jike mzuri wa Kumchapa nao na abebe Mimba.

Na kuonyesha kuwa Waafrika tumeshalaanika na Upumbavu (Upopoma) kuna Taifa Moja (nimelisahau Jina) nalo linataka Kupunguza Miaka ya Wanafunzi wake Kusoma kutoka Saba ya Kitaalamu kwenda katika Sita wakijidanganya kuwa Wataimarisha Elimu yao huku wakiwa Wamesahau kuwa tatizo Kuu (Mama) la Elimu yao siyo kwa Wanafunzi bali ni Walimu Wabovu (Failures) na Miundombinu hafifu.

Acheni tu Wazungu watudharau Ok?
Una kitu na utafika mbalii bonge za uandishi mixer story tamu
 
Ujumbe umefika ila sasa kipengele cha ng'ombe zako za Butiama sijakipenda
 
Sawa wamekusikia, kwa walimu ni failures kafundishe wewe uliyefaulu ili tulinganishe matokeo hapo baadae
 
Wazungu wametuacha mbali Sana katika kila Jambo.Fikiria Kama wasingekuja huku Africa kuleta " civilization" unadhani hata tungefika hapa tulipofikia?

Tuwashukuru Sana wenzetu kwq kututoa gizani.
 
Back
Top Bottom