Kwa uandishi huu ni bora sheria ya habari ipite, wenye certificate wakae pembeni

Hayo magazeti yanachojali waingize Pesa tu hawajali kuhusu utaathirika vipi na habari hizo sijui familia yake inajisikia vip, habari zao nyingi huwa ni mambo ya uchawi, umbea,na habari nyingi za kitototo huwa nikimuona MTU anasoma magazeti hayo huwa namuona IQ yake iko chini.
 
"Bila shaka" hayo ndio mawazo yako, kuwa hata magazeti ya udaku yana haki kuandika chchote, je mwandishi mwenye ethics bora za uandishi haijalishi ni udaku unaona hiyo habari ipo sahihi? Familia itajisikiaje? Assume angekuwa ni mzee wako unaona kuwa imeandikwa amechukuliwa msukule wat will be?? Think deep sio kuja na povu la sabuni ya omo.......hatukatai kuwa ni udaku but walisoma kuna habari zina weza leta side effect kwa jamii hasa kwa familia kama habari hiyo.
Ndugu zake wengine wataliona kwa sababu umeliweka hapa
 
Hiyo ni aina ya uandishi wa habari na inatambulika katika uandisho wa habari na ndio maana kila siku utaona magazeti ya udaku na hayawezi kufungiwa maana kuna uandishi wa aina hiyo kwenye Mambo ya habari.

Kama sikosei inaitwa yellow journalism.
 
"Bila shaka" hayo ndio mawazo yako, kuwa hata magazeti ya udaku yana haki kuandika chchote, je mwandishi mwenye ethics bora za uandishi haijalishi ni udaku unaona hiyo habari ipo sahihi? Familia itajisikiaje? Assume angekuwa ni mzee wako unaona kuwa imeandikwa amechukuliwa msukule wat will be?? Think deep sio kuja na povu la sabuni ya omo.......hatukatai kuwa ni udaku but walisoma kuna habari zina weza leta side effect kwa jamii hasa kwa familia kama habari hiyo.
Hii inaonesha asilimia kubwa ya watz wanapenda udaku udaku hawapendi kusoma mambo yatakayowajenga kiakili.......
sasa unakuta mtu anaichukua hiyo habari na kwenda kusimulia vijiweni bila aibu
 
Kampuni za Magazeti ya udaku hayaajiri kwa kuangalia Elimu yako ukiwa mtunzi mzuri wa kuweza kuandika exclusive news unaajiriwa
 
Certificate si hoja.Uandishii una miiko(journalism ethics).Hata kama una PhD maadili yanawewa kuachwa tu.Kuacha maadili ya uandishi ni sawa kutembea hujavaa nguo ya ndani,unaandika habari bila kuzingatia miiko yake.
 
Back
Top Bottom