Ni kweli mkuu.mimi hata siku moja siwezi muonea huruma Nape.Nape anavuna Alichopanda. Siwezi kumuonea huruma hata kidogo.
Bavicha gani wa kubishaMange kasema
Nape Moses Nnauye
@Nnauye_Nape
20h
I have never met a strong person with an easy past, .....be proud of your scars and that you are still standing...
Nape Moses Nnauye
Sidhani kama ni kupoteza uwaziri ila unyanyasaji aliofanyiwaAnaonyesha jinsi alivyo dhaifu, maneno kama hayo husema Wanawake pale wanapoachana na wapenzi wao, hivyo ni mambo ya kike tu!
Hiyo tweet hamhusu Nape.Jibu lipo wazi tu. Anajifariji mwenyewe. Kwamba amepata jeraha la kisiasa lakini bado amesimama imara. Ujumbe mzuri.
Mkuu,mambo huanza hivihivi.haingii akilini kinana aondeke kimyakimya na arudi kimyakimya kama mwizi vile.mara tumepa likizo kitachofuata tuambiwa amejiuzulu ukatibu mkuu.Kinana kapotea ghafla kama Ben Saanane
Maskini Kolimba, alikufa kabla ya kuyasema yaliyo moyoni mwake. "Kifo cha ghafla"Are you sure??
Kati ya watu wa kufukuzwa kwenye hili jukwaa la GT ww unatakiwa kutangulia.GT gani ubashindwa kuchambua nyakati?Kila muda jambo lake.Kipindi cha uoga na kipindi cha ushujaa,Kipindi cha uerevu na kipindi cha upuuzi.Vyote vinaweza mtokea binadamu huyo huyo.Utaitwa shujaa pindi wenzio wanapobaini ushujaa wako.Kuna Rais aliwahi tamka kwamba aliatamiwa na mapadri akiwa mdogo lakini akitaka kuwaatamia atafanya kuchagua anayemtaka kwa vile ana uwezo kwa sasa.Changamsha ubongo wako .Mda si mrefu chadema watamuita kinana ni shujaa na kusahau walimpigia kelele kuwa anatorosha meno ya taifa.. Chadema ni janga
hahaa a peanut?Na bado mtamjuta kumfahamu.