KWA TUNAO ZALISHA BIDHAA ZENYE MTAZAMO TOFAUTI KWA WALAJI JE TUNAFANYAJE?

nafuga kuku mwenyewe sinunui mayai,kuhusu maziwa ya ngombe pamoja na nyama huwa situmii nina mzio navyo.
yakupasa uelewe nimekwambia nimeweza kubadili ulaji kwa 80%..sikatai kuna baadhi ya vitu havikwepeki lakini haiwezi kunipelekea nianze kula vitu vingne ambavyo vinaweza kukwepeka ndugu.
Kama unakula hao broilers wako wewe endelea kula
Hahahaaaaa
 
Mmmmmh napata mashaka
Mashaka yapi? Rudia kusoma kichwa cha habari utaelewa. Unalima? unafuga? make kama hufugi au hulimi tutajadiriana nini?
Hatuwezi ongea rugha moja mimi nitaongea kiswahili wewe kichina hatutaelewana.

Nazani umenipata sasa
 
Back
Top Bottom