Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,840
- 27,763
Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule.
Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni.
Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri.
Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda mbali zaidi na kukimbia ajira zao za ualimu (hii ni baada ya mashambulizi ya hasimu wao Mpwayungu Village).
Hii ni kinyume kabisa na waimbaji na waigizaji wa filamu ambapo wengi wao ni vilaza wa kutupwa.
Hongereni sana 'so called jobless graduates' kwa kuiona fursa na kuamua kutuchekesha ili tusahau shida zetu.