The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.
Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.
Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari ili kuuza? Jibu ni ndio. Mali/asset yoyote unayomiliki iwe gari, nyumba, simu, kutanda, TV nk kazi yake ni 2 tu, kwanza kukupa ama kukidhi hitaji la matumizi yako kwa wakati huo lakini pia ni back yako pale utakapokuwa umeyumba kiuchumi ama kuhitaji mtaji zaidi kwenye shughuli zako na ukaona huna sababu ya kwenda kwenye taasisi za fedha kuchukua mkopo kuendelea na shughuli zako, so zina serve purpose 2 tu.
Siku zote ulichonacho ndio cha kwanza kukusaidia kufanikisha jambo lako.
Sasa kwa ushauri wangu, kama unataka uhakika wa kupata wateja ama kuhakikisha hupotezi sana thamani ya pesa yako(value retention) basi nunua Toyota.
Hizi car brand nyingine nunua ila at your own risk. Nikiwa na maana kwamba zinaweza kuuzika ila resale value yake ikawa ndogo sana kuliko kama ungekuwa na gari ya Toyota.
Karibu Doha, Qatar tuangalie WC.