Kwa Style hii Mh unaipa shule laki 6 unasema Elimu bure?

Siku zote fanyia kazi maono au mipango yako, uki copy kwa mtu madhara yake ndio hayo. Sera ya elimu bure ilikua ya Chadema na Cuf tokea mwaka 2010, ccm walisema haiwezekani; think tank yao iliwaambia hivyo ( na hapa siwalaumu) kulazimisha otherwise ndio matokeo yake hayo.
Bavicha si mmesema jpm anatekeleza ilan yenu
 
Rais wetu alisha sema maana yake bure ni bure kweli kweli nilimuona kwenye I t v....alisema bure ni bure kweli kweli hata hela ya chakula serekali itagharamia na sare na madaftari ndo wazaz watachangia tu......

Msikilize tena nafikiri haukumuelewa vizuri, alisema hii ni fedha ya kulipia mitihani, karo, walinzi, chaki, kwa kifupi vitendea kazi vya Walimu lkn siyo nguo za mtoto hilo ni jukumu la mzazi, na kwa kukusadia tu Dunia nzima wanavyosema Elimu Bure huwa wanamaanisha kwamba hakuna Karo na mahitaji mengine ya kishule na hawamaanishi kwamba Serikali itakupa nguo kwa ajili ya mtoto wako au ije nyumbani kwako kukulishia mtoto wako HAPANA hilo linabakia kuwa jukumu la mzazi!
 
mm nimemsikia akisema bure ni bure kweli kwel ila juz tumeambiwa tuchangie hela ya chakula
 
Nasema haiwezekani kabisa kutuaminisha elimu itakuwa BORA kama hali yenyewe ndo hii.

Mwalimu mkuu mmoja unampa laki sita eti ndo mgao wa kuendesha shule; Nanukuu kutoka gazeti la Mtanzania,

'Awamu ya kwanza ya January mwaka huu shule yangu imepokea sh 600,000, kiasi hicho hakitoweza kukidhi mahitaji ya shule yenye jumla wanafunzi 1,255 kuanzia shule ya awali hadi darasa la saba',

Maanake kila mwanafunzi anapata sh 478, hata kama ni kwa kuanzia hiki ni kiasi kidogo sana.
Hii kwa kweli itaendelea kudidimiza elimu yetu tusipowekeza kwa uhalisia, maana haya inaonekana hayakufanyiwa utafiti kwanza, ni wanasiasa walikurupuka tu!
KUIGA NI KUBAYA SANA CCM WALIIBA SERA ZA UKAWA BILA KUJUA UKAWA WALIJIPANGA VIPI KWENYE ELIMU BURE
 
Mi nadhani muheshimiwa hakujua idadi ya wanafunzi katika mashule yetu, hii issue ya elimu bure ingepangiwa kwanza sensa ya wanafunzi wote, mahitaji katika kila shule, shule zingesaidiwa kuwa na vyanzo vya mapato amabvyo vingesaidia kuongeza kipato kutoka kile wanachopewa na serikali. Bila hivyo elimu itakuwa duni zaidi kupata kutokea Tanzania na hili litakuwa pigo na hujuma kwa waziri wa elimu kwa kuwa ahadi hii ni ngumu kuliko kupasua mawe.
 
bila kutaja ni shule gani na ni mwalimu mkuu yupi....! Mwandishi na mhariri wa gazeti la Mtanzania wanatakiwa kuadhibiwa. Simbachawene alishasema kama ela hazikufika kamili watu watoe taarifa ili mkuu wa mkoa na wa wilaya washughulikiwe
 
Last edited:
Shule zina shida kubwa Mwanangu juz karud toka shule kasema madawati hayapo......huku nipo nafanya kibarua,nipate fedha za mchango wa chakula serekali iache dharau jaman....
 
Msikilize tena nafikiri haukumuelewa vizuri, alisema hii ni fedha ya kulipia mitihani, karo, walinzi, chaki, kwa kifupi vitendea kazi vya Walimu lkn siyo nguo za mtoto hilo ni jukumu la mzazi, na kwa kukusadia tu Dunia nzima wanavyosema Elimu Bure huwa wanamaanisha kwamba hakuna Karo na mahitaji mengine ya kishule na hawamaanishi kwamba Serikali itakupa nguo kwa ajili ya mtoto wako au ije nyumbani kwako kukulishia mtoto wako HAPANA hilo linabakia kuwa jukumu la mzazi!
Hujamuelewa SOMA vzr comment yake
 
ubunifu wa kuiga kwa wapinzani,...kuendesha elimu bure c kaz rahisiiiii,..hasa ukiwa hujajipangaaa ni tatizoo,..ilibidi wajipange kwa muda mrefu kidogo hata miaka3,....wanamuiga lowassa aliyesema kuanzia january free education,...,,..kwa namna hiii elimu itazd kudumaaa

Kwa hiyo ndugu mtanzania unasema kwamba hata Lowasa ni mwongo, asingewezesha kutoa elimu bure??
 
Kwa hiyo ulitakaje labda? Kwamba hata hizo laki sita wasipewe au vipi? Embu funguka kidogo!
Unauliza nilitakaje? kawaulize walimu wakuu walitajake!, nilichosema hii kitu haikufanyiwa utafiti, ilikuwa siasa tu, kwanini walalamike kama Mh alichosema kililenga kusaidia watoto wetu kupata elimu bora?
 
Huyo Lowassa hela alikuwa anatoa wapi?? Au ni za Richmond???

Kule Monduli zile shule hazihitaji mgao wa Serikali. Mshauri awasaidie wamasai na majirani zake kule Monduli kwanza achilia mbali Arusha. Usisahau na maji ni shida kubwa. Hizo hela kwasababu hakupata u Rais basi asaidie jamii.

Queen Esther

ubunifu wa kuiga kwa wapinzani,...kuendesha elimu bure c kaz rahisiiiii,..hasa ukiwa hujajipangaaa ni tatizoo,..ilibidi wajipange kwa muda mrefu kidogo hata miaka3,....wanamuiga lowassa aliyesema kuanzia january free education,...,,..kwa namna hiii elimu itazd kudumaaa
 
Hivi tuseme ni shule zote ndio wamepewa hela zisizotosha? Mbona shule zingine hatuzisikii wakilalamika?
Ni vizuri kujua pia budget ya shule ni kiasi gani, unaweza ukachukua tu shule yenye wanafunzi 1000. Tukijua hiyo budget ndio rahisi kutoa maoni au hoja
 
Huyo Lowassa hela alikuwa anatoa wapi?? Au ni za Richmond???

Kule Monduli zile shule hazihitaji mgao wa Serikali. Mshauri awasaidie wamasai na majirani zake kule Monduli kwanza achilia mbali Arusha. Usisahau na maji ni shida kubwa. Hizo hela kwasababu hakupata u Rais basi asaidie jamii.

Queen Esther
Achana na yaliyopita, ongelea kwa mh wetu watu kuwapa laki sita eti ndo mgao wa shule, Lowasa hausiki tena ndugu, miaka mitano sio mingi, tunataka taifa lisonge mbele.
 
Unauliza nilitakaje? kawaulize walimu wakuu walitajake!, nilichosema hii kitu haikufanyiwa utafiti, ilikuwa siasa tu, kwanini walalamike kama Mh alichosema kililenga kusaidia watoto wetu kupata elimu bora?

Wewe ndiyo ulipaswa umuulize huyo Mwalimu wako alitakaje kwa kuwa ndiyo wamekutumia wewe kulalaimika, mimi sina haja ya kumuuliza yoyote yule kwa maana sijalalamika!
 
Achana na yaliyopita, ongelea kwa mh wetu watu kuwapa laki sita eti ndo mgao wa shule, Lowasa hausiki tena ndugu, miaka mitano sio mingi, tunataka taifa lisonge mbele.
Asante mpendwa. Jibu langu linatokana ni nilichokuwa nakijibu. Rudi tena nilipojibu na umuonye aliyeandika mambo ya nyuma wakati tuko buzy na kazi.

Asante kwa angalizo, wote tukiwa hivi itakuwa safi sana.

Queen Esther
 
Bavicha si mmesema jpm anatekeleza ilan yenu
Umenisoma vizuri? NImekwambia madhara ya ku copy ndio hayo; hiyo kitu ka copy from Chadema na Cuf ya mwaka 2010 na uelewe hivi kwenye ILANI zote hua zinatolewa AHADI but hua hazioneshwi namna AHADI hizo zitakavyotekelezwa na hapo ndipo mlipo bugi, namna ya kutekeleza AHADI ni kama password, haitolewi kwa kila mtu. UKITAKA kufanya kile kilichoandikwa na mwingine ni vizuri tu ukamuulize ili akusaidie.
 
Sera ya Elimu bure walianza nayo CUF mwaka 2000 kipindi hiki ata ao Chagadema hawana lolote lile ata urais sikumbuki kama wakisiammisha mtu, ndipo Benja alipopita kwa awamu ya 2 akaitekeleza kwa shule za msingi tu
Rejea vizuri historia ya chaguzi za vyama vingi tokea zimeanza hapa Tanzania, mwaka 1995 Chadema walimuunga mkono Mrema chini ya NCCR Mageuzi na mwaka 2000 waliunga mkono Cuf chini ya prof Lipumba; huwezi kuunga mkno mtu kama either hufanani nae vipaumbele vyake au ukampa Inputs zako. Ndio maana nimesema hiyo ilikua sera ya Chadema na Cuf.
 
Back
Top Bottom