SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 46,198
- 66,205
Matusi ya nini?.Tujadili hoja.
Tujadili hoja wakati unaleta ujinga ujinga hapa
Matusi ya nini?.Tujadili hoja.
Anyway,Mimi sijafundishwa kutukanaTujadili hoja wakati unaleta ujinga ujinga hapa
Ila katoa kijiti wakat alikuwa bado anakipenda japo kuwa amekikabizi huku akionekana anatabasam.Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara