Kwa sasa vyama vya Upinzani vimebaki Bungeni tu

Najua sasa grafu ya magufuli ipo kaenye log phase, kaanza kwa kasi mnoo, ila tunavyojua kawaida ya nature kwamba ukianza na spiidi kubwa utaona unaishia pabaya, mbaya zaidi end au mwisho unakuja kwa spidi vilevile

Tunasubiri stationary phase ambayo inakaribia soon na hapo ndipo tutaangalia kama ataweza maintain, akijikwaa tuu kazi imekwishaa, grafu ya ukawa inaanza kupaaaa
 
Msimlaumu bure mleta mada maana jina lake tu linatosha kumtambua wasifu wake .singidadodoma maana yake n mtikisiko wa makalio ya makubwa ya mwanamke . kwahiyo anaposema singidadodoma hamaanishi yeye n mkazi wa huko. Mbona mimi natoka Singida na ninajielewa vizuri tu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Rais Magufuli amedumu madarakani kwa zaidi ya siku 100. Mambo aliyofanya nadiriki kusema kuwa ni makubwa na yamewashangaza wengi. Wengi wamebaki midomo wazi na kwa hakika Watanzania wanazidi kumpenda na kumkubali Rais wetu.

Upande wa pili wa shilingi, hali ya upinzani inazidi kuwa dhoofu. Pengine kinachowapa nguvu kidogo kwa sasa ni hali ya kisiasa Zanzibar. Nina hakika baada ya Machi 20, wapinzani watapotea kabisa kwenye siasa za dhahiri ( Active Politics).

Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa harufu ya upinzani ni Bungeni. Labda kwa vile wengi wao wanapenda sana kuuza sura kwenye Runinga. Hata hivyo, ukichunguza kwa makini, hoja nyingi zinazotolewa na wabunge wa upinzani ni za kutaka tu kuuza sura na si kunusuru upinzani. Fikiria mbunge anasimama eti kung'ang'ania bunge lioneshwe Live! Ona Eti mbunge anasimama na kusema Mwakyembe ametumia zaidi ya bilioni 260 kununua mabehewa feki. Alipotakiwa kutoa ushahidi ameshindwa mwisho wa siku kaambulia aibu ya kutohudhuria vikao viwili

Kwa sasa wapinzani wapo likizo. Tuonane tena mwezi Aprili wakati Bunge la Bajeti litakapoanza vikao vyake.
Hopeless
 
1455727340686.jpg
 
Hebu rudi maktaba ukasome study za mataifa mengine ya afrika juu ya serikali na uwepo wa upinzani baada ya kupata darasa utakuwa umejitofautisha na wale vijana 46 anaowalilia kikwete.
 
Bila upinzani haya yasingetokea. Shukuru upinzani hata kwa hili dogo kwa sababu Magu bado hajakamua kitu
Hamna kitu kama hicho alivyosimamia barabara ni kwa sabau ya wapinzani hiyo ni hulka yake, upinzani hamna mchango wowote. Watanzania tunapendaUpinzani lakini sio wakutoka Bungeni huku poshowakichukua( So bad!!!) bila aibu yoyopte!
Wakitaka wasurvuve watunge strategy nyingine lakini hizi za fujo, watzanania hawataki fujo wako na Magufuli wao!
 
Haya Mwana lala Mtoto mzurii uamke asubuhi uwahi shule.
 
Back
Top Bottom