Kwa sasa hakuna chama cha Upinzani chenye nia na uwezo kutwaa dola, masihara yamezidi

Huu ndio ukweli mchungu kwa sasa Tanzania hakuna chama upinzani kinachoonyesha umakini kutwaa dola kimkakati au chenye ajenda endelevu inayogusa maisha ya kila siku ya Mwananchi.

Vyama vya upinzani badala ya siasa za masuala sasa wamehamia "siasa katuni" zenye nia ya kuburudisha au kichaka cha kupooza hasira au ngao ya kuficha waovu kwa kauli kuwa "tunaonewa"

Hakuna chama cha Upinzani kinachotengeneza viongozi badala yake wanaoteza watu eti kwa kisingizio "kuongeza idadI ya wapiga kura" sasa ni nani wamemuandaa apimwe kura?au wapiga kura siku hizi wote ni mateja?

Labda tujiulize hao wanaochukuliwa kwa mamilioni ya ruzuku wana sifa za uongozi?

Hapa ndipo ni nakubaliana na kauli ya Lowassa ya tar.30.5.2015 kwamba "hata katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka mabadiliko bado CCM ndicho chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko"

UKweli bado ni kuwa vyama vya upinza ni vipo kwa mujibu wa sheria bila tija.
NI WENYE AKILI TU NDIO WATAKUELEWA...!!
 
Vyama vya upinzani kwa sasa vinapumulia mrija. Tusubiri hadi 2020 tuone watakavyogaragazwa kwenye uchaguzi.
 
Huu ndio ukweli mchungu kwa sasa Tanzania hakuna chama upinzani kinachoonyesha umakini kutwaa dola kimkakati au chenye ajenda endelevu inayogusa maisha ya kila siku ya Mwananchi.

Vyama vya upinzani badala ya siasa za masuala sasa wamehamia "siasa katuni" zenye nia ya kuburudisha au kichaka cha kupooza hasira au ngao ya kuficha waovu kwa kauli kuwa "tunaonewa"

Hakuna chama cha Upinzani kinachotengeneza viongozi badala yake wanaoteza watu eti kwa kisingizio "kuongeza idadI ya wapiga kura" sasa ni nani wamemuandaa apimwe kura?au wapiga kura siku hizi wote ni mateja?

Labda tujiulize hao wanaochukuliwa kwa mamilioni ya ruzuku wana sifa za uongozi?

Hapa ndipo ni nakubaliana na kauli ya Lowassa ya tar.30.5.2015 kwamba "hata katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka mabadiliko bado CCM ndicho chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko"

UKweli bado ni kuwa vyama vya upinza ni vipo kwa mujibu wa sheria bila tija.
Shangailia sasa si ndiyo furaha kwako? Yaani wewe badala ya kujenga chama chako kucha kutwa wewe na upinzani tu, hususani Chadema. Sasa upinzani ukiwa dhaifu si ndio raha kwako. , sasa povu la kila mara la nini?
 
Ni kweli mtoa mada, katika Tanzania hii hakuna upinzani imara wenye uwezo wa kushika na kuongoza dola. Wanahitaji kujipanga na kujiimarisha sana aisee.

Lakini pia, haihitajiki hata elimu ya chekechea kujua kwamba mabadiliko pekee tunayoweza kuyapata, na tunaendelea kuyaona chini ya CCM ni ya kurudi nyuma tu! Naamini hata Mhe. Edward Ngoyai Lowassa alimaanisha hivyo.

Natamani sana siku moja CCM iondolewe madarakani, lakini ninaopaswa kuwategemea na kuwaunga mkono ndio kwanza hata hawaelewi malengo na mipango yao hasa...
 
Ukisikia kelele hizi basi wamepatikana!CDM Shikilieni hapo hapo
 
Cdm nawashangaa sana. Mtu katuhumiwa kwa kuuza ng'ada then mnajitolea kumtetea mmesahau kauli ya mkuu wa kaya kwamba anayemtetea naye akaatwe
 
Nikweli kabisa chama tawala kina mawenge, ila ukilinganisha na upinzani chama tawala wanaonekana kuwa na ahueni......hakuna upinzani serious tz, bado sana.

..very true.

..nchi hii ina kila kitu cha kutufanya tuendelee isipokuwa uongozi bora.

..ccm wana uwezo mkubwa wa kuwajaza matumaini waTz wakati wa uchaguzi.

..baada ya hapo huwaangusha kwa utekelezaji mbovu wa sera zao, pamoja na ufisadi.
 
Shangailia sasa si ndiyo furaha kwako? Yaani wewe badala ya kujenga chama chako kucha kutwa wewe na upinzani tu, hususani Chadema. Sasa upinzani ukiwa dhaifu si ndio raha kwako. , sasa povu la kila mara la nini?
Hili jukwaa la hoja,usilielie
 
Huu ndio ukweli mchungu kwa sasa Tanzania hakuna chama upinzani kinachoonyesha umakini kutwaa dola kimkakati au chenye ajenda endelevu inayogusa maisha ya kila siku ya Mwananchi.

Vyama vya upinzani badala ya siasa za masuala sasa wamehamia "siasa katuni" zenye nia ya kuburudisha au kichaka cha kupooza hasira au ngao ya kuficha waovu kwa kauli kuwa "tunaonewa"

Hakuna chama cha Upinzani kinachotengeneza viongozi badala yake wanaoteza watu eti kwa kisingizio "kuongeza idadI ya wapiga kura" sasa ni nani wamemuandaa apimwe kura?au wapiga kura siku hizi wote ni mateja?

Labda tujiulize hao wanaochukuliwa kwa mamilioni ya ruzuku wana sifa za uongozi?

Hapa ndipo ni nakubaliana na kauli ya Lowassa ya tar.30.5.2015 kwamba "hata katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka mabadiliko bado CCM ndicho chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko"

UKweli bado ni kuwa vyama vya upinza ni vipo kwa mujibu wa sheria bila tija.
Wewe kada wa CCM, vyama vya upinzani vinakuhusu nini, kama siyo maumivu ya Wema Sepetu kuwahama?
 
Shangailia sasa si ndiyo furaha kwako? Yaani wewe badala ya kujenga chama chako kucha kutwa wewe na upinzani tu, hususani Chadema. Sasa upinzani ukiwa dhaifu si ndio raha kwako. , sasa povu la kila mara la nini?
Dogo unapotoshwa
 
Huu ndio ukweli mchungu kwa sasa Tanzania hakuna chama upinzani kinachoonyesha umakini kutwaa dola kimkakati au chenye ajenda endelevu inayogusa maisha ya kila siku ya Mwananchi.

Vyama vya upinzani badala ya siasa za masuala sasa wamehamia "siasa katuni" zenye nia ya kuburudisha au kichaka cha kupooza hasira au ngao ya kuficha waovu kwa kauli kuwa "tunaonewa"

Hakuna chama cha Upinzani kinachotengeneza viongozi badala yake wanaoteza watu eti kwa kisingizio "kuongeza idadI ya wapiga kura" sasa ni nani wamemuandaa apimwe kura?au wapiga kura siku hizi wote ni mateja?

Labda tujiulize hao wanaochukuliwa kwa mamilioni ya ruzuku wana sifa za uongozi?

Hapa ndipo ni nakubaliana na kauli ya Lowassa ya tar.30.5.2015 kwamba "hata katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka mabadiliko bado CCM ndicho chama pekee kinachoweza kuleta mabadiliko"

UKweli bado ni kuwa vyama vya upinza ni vipo kwa mujibu wa sheria bila tija.
Tatizo lenu ndio hilo wanasiasa wa humu unapotaka kuleta hoja unatanguliza mapenzi ya chama kwa kuleta hisia juu ya upenzi wa chama chako wazi wazi hoja imejaa uzalendo wa chama tu, inachekesha sana mwana CCM kusema vyama pinzani vinamasihara, Rudi tena kachunguze nani mwenye masihara kati ya pinzani na tawala
 
Back
Top Bottom