Kwa roho moja, taifa moja, Kamanda Lema ateuliwe kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Lema hawezi, ni mtu aonekanaye kuwa wa kulipiza visasi - kwa Tanzania kama asingekuwa kiongozi wa chama ZITTO KABWE anafaa kuwa ktk serikali ya magufuli

Lakini pia ningekuwa JPM ningempa kazi Mhe. Mama Anne Mughwira aliyekuwa mgombea urais wa chama cha act wazalendo.
Wewe mu ACT kweli vkweli naona mapenzi yavyokuongelea!!;
 
nawasiwasi na makamanda wenu baada ya kuona na wema sebenga naye ni kamanda sasa hivi.mnaendaga jeshi gani makamanda wa chadema??au kuvaa yale manguo ya kakhi kama ya westcoast rappers(dickies clothing) ndo ukamanda?
 
Inashangaza sana ukabira ukabira aaaah ndio maana wale wabunge wawili walipinga kujadili hili jambo kumbe kulikuwa na lao ni hatari sasa huyo mwiguru ananza palitokea mauaji mpaka leo ni mauaji tu amefanya nini cha maana na bado .endeleen lakina mnamaliza watu wasio na hatia jsmani
 
Lema akiwa waziri wa mambo ya ndani tutalala MALANGO wazi, huyu anaushawishi kuliko hata Mzee Mrema, atawashawishi wezi wote waende likizo, jamaa ana karsma au karama ya pekee sana, kwetu sisi wenye macho ya rohoni tunamwona. Huyu ni hazina, time will tell!!!
 
Naunga mkono hoja!
Nafikiria hii hoja angeleta MTU wa chadema hayo matusi hapa sijui ingekuwaje!sijui yangekuwaje!!
Pole naona wanakushambulia haswa
 
Back
Top Bottom