Kwa nini Wazungu(EUROPE) na US waizingire kijeshi Russia na Sio CHINA?

Ukibisha uwe na uwezo wa kuthibitisha ukitaka nikithibitishie lipo wazi hata ukigoogle majibu utapata.

Tena from verified sources
Tatzo sio kugoogle tatzo ni kufanya hesabu na utafiti mwenyewe

Kama 1kiloton ya nuclear inaffect 0.4km. Hvyo hilo Sarmat lenye Megaton 50 (50,000 kt) lina uwezo wa kuaffect kiasi gn.Mbona ni hesabu rahisi tu mkuu. Half ukimaliza hapo njoo uangalie km square za France halfu piga hesabu ni mabomu mangap yanahitajika kuzamisha ufaransa yote.

Mkuu izzo naomba msaada hapa wa yale mahesabu ya nuclear
 
Hao walojivika sijui ni mitambala sijui nyasi kichwani nao ni wanajeshi wa Ulaya hao? Hizo si ni mbinu enzi wa jeshi la kamanda Mkuu Chief Mkwawa?

Wangefanya JWTZ wetu comment za ajabu sana zingetoka hapa.
izo ni mbinu pia inaitwa kujiremba kwnye uwanja wa medani...
 
images

nimekupata mkubwa, hawa US. tatizo wabongo sisi ujanja ujanja mwingi. Hapa akibeba mbongo itaonekana ni enzi za Zwangendaba
haya mazoezi bongo yanafanywa sana hasa kipindi cha kozi wakati wa mkesha wasiku mta deal sana na magogo kujenga madaraja sana tuu...
 
Ukibisha uwe na uwezo wa kuthibitisha ukitaka nikithibitishie lipo wazi hata ukigoogle majibu utapata.

Tena from verified sources
Hatimae nimepitia kwenye library yangu nimepata majibu.

Ni hiv mkuu....

According to Nuclearsecrecy.com(NUKEMAP) wanasema kwamba 50Mt (megaton) Tsar bomba has a radiation damage radius of 60 km ambayo wanasema inaCover kama 11,000 square km. Wakati eneo la France ni ~550,000km square, kwahyo Tsar bomba yenyewe haiwez kuzamisha France yote ila ina uwezo wa kuzamisha kama 1.78% ya France.

Wakaja tena kueleza 100Mt version ya Tsar bomba

Wakasema kwamba 100Mt ina thermal radiation damage radius ya 73.7km ambapo inaweza kukava kama 17,080km ambayo hyo ni kama 2.69% of France. Hyo ni 100Mt.
Nmeelzea Tsar bomba kwa sababu inaelezwa kwamba inawezekana Russia wakaweka Tsar bomba kwenye Kombora la Satan, lakin hyo ni ngumu sababu uzito wa Tsar bomba inakadiriwa ni tani 30 (30tons) wakt Sarmat inakadiriwa kubeba warheads uzito had tani 8.8 (8.8tons).

Sasa tuje kwenye issue ya Sarmat yenyewe

Inaelezwa kwamba Sarmat inaweza kubeba Warheads 10 zenye 0.75 mt kila moja au ina uwezo wa kubeba warhead moja 20Mt.

Kama itabeba single 20Mt

20Mt (44.1km radius,6120 km square)>>> 0.0096 France equivalent units.

Kama itabeba 10 warheads MIRV ambapo kila warhead ni 0.75Mt bhas ni kama 0.0057 France equivalent units.

Ps:
Kubadili hzo Equivalent units kwenye percentage zidisha kwa mia moja.

Kujisomea zaid kuhusu hilo Sarmat pitia hapa

R-36M / SS-18 SATAN - Russian / Soviet Nuclear Forces

•Mkuu kama utakua mtu wa hesabu hesabu utakua umenielewa maana nimeelzea kimahesabu hesabu•
Ila nadhan ntakua nmeeleweka.
 
Hao walojivika sijui ni mitambala sijui nyasi kichwani nao ni wanajeshi wa Ulaya hao? Hizo si ni mbinu enzi wa jeshi la kamanda Mkuu Chief Mkwawa?

Wangefanya JWTZ wetu comment za ajabu sana zingetoka hapa.
Mkuu hizo camouflage hazijawahi kupitwa na wakati japo kuna technology ya heat signature/map. Unaweza kuwaona watu kwa picture za infrared radiation yaani joto lao la mwili tu kama ile animation ya kwenye The Predator ya Anold Schwatzinigger. Lakini sometimes inabidi utumie normal vision ili kuweza kuwaona kwa usahihi adui na kulenga shabaha hasa kama ni close proximity, au kama kuna electronic device ya kufanya heat map kuwa jammed.
 
Back
Top Bottom