Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

Blender

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
4,792
7,939
Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.
20250109_124415.jpg

Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu.
20250109_124402.jpg

Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa Zanzibar, Seyyid Said bin Sultan Al-Busaid, alihamishia makao yake makuu kutoka Oman hadi Zanzibar mwaka 1840, akiifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara ya pembe za ndovu, karafuu, na watumwa.
20250109_141022.jpg

I). Pembe za ndovu kutengeneza mambapo na dawa za kuongeza nguvu za kiume,
ii). watumwa kwa ajili kufanya kazi mashambani , sex slavery, na wengine kuuzwa nchi za ulaya..
iii). Karufuu kutengeneza dawa , manukato .
20250109_141048.jpg

20250109_141055.jpg

Nasaba ya Al-Busaid, ambayo ilikuwa familia ya kifalme ya Oman, iliendelea kutawala Zanzibar hadi Mapinduzi ya mwaka 1964. Sultan wa mwisho wa Zanzibar, Sultan Jamshid bin Abdullah, alifukuzwa wakati wa Mapinduzi na kukimbilia uhamishoni nchini Uingereza.

mama yake Sultan Jamshid bin Abdullah, aliyeitwa Sayyida Matuka binti Hamoud Al-Busaid, alikuwa na asili ya Kiafrika.
20250109_124248.jpg

Sultan Hamoud bin Mohammed, babu wa Jamshid, alioa wanawake wenye asili ya Kiafrika, ikiwa ni sehemu ya kujenga mahusiano ya karibu na watu wa Zanzibar.

Alafu pia kwani ni wanaotaka muungano uvunjike au serikali 3 ni Arab NDA au unaweza kuwaita wa Zanzibar ambao Wana jinasibu Zanzibar kuwa ni Mali Yao.
Ila wale wabantu wazanzibara ) huwezi kuwasikia wakisema muungano uvunjike au kuwe na serikali 3.

Sasa nisikilizeni nyie Oman Arab ni kwamba Kwa siku zijazo itakuwepo serikali 1 ya nchi MOJA TU 😂, Zanzibar ikiwa among Isla
nds in Tanzania .
 
Wazanzibar wahaiti wabara makafiri isipokuwa Muslims ndo wanaita mtu yoyote ambae sio dini hiyo ya kiislamu kuwa ni kafiri!..

Navyojua mimi wanatuita MACHOGO....
Wanajinasibisha kuwa nchi Yao ni ya kiislamu, nyie mmesahau kipindi cha mfungo watu wanachapwa bakora wakila mchana, huku bara ni serikali huru kila MTU ana uhuru wa kuabudu anacho penda, ili muradi asivunje sheria
 
In 1964, a year after the British left Zanzibar, the black population rose up against the Sultan and his mostly Arab government, who had enslaved them prior to British rule. An Italian film crew recorded the resulting genocid
e of the Arab population from a helicopter, under fire.
 
Wanajinasibisha kuwa nchi Yao ni ya kiislamu, nyie mmesahau kipindi cha mfungo watu wanachapwa bakora wakila mchana, huku bara ni serikali huru kila MTU ana uhuru wa kuabudu anacho penda, ili muradi asivunje sheria
Hizo ni sheria zao hujalazimishwa kukaa huko hakuna sehemu pakaenenda pasipo sheria hata wewe kwenye nyumba yako unaweza ukaweka sheria watu wote wawe nyumbani saa mbili usiku and no body can resist!.
 
Muna TU zarau ss wa bara, Ina maana mmesahau kuwa nyie ni kizazi cha 2 na 3 kutokea huku bara.
Asili yenu nyinyi wazanzibara ni huku unyamwezini, ugogo, unyakyusa etc, so ni inashangaza hamjui ancienter wenu.
 
Wanatuonea wivu
Tumewazodi kila kitu maendeleo ,uchumi ,population kila kitu.
Kila kitu tumewazidi labda tu kulala chooni ndio wanatuzidi
 
Hizo ni sheria zao hujalazimishwa kukaa huko hakuna sehemu pakaenenda pasipo sheria hata wewe kwenye nyumba yako unaweza ukaweka sheria watu wote wawe nyumbani saa mbili usiku and no body can resist!.
Sasa serikali ya smz inafanya kazi gani kusimamia Sheria.
Ndio maana swala la serikali 1 liko mbioni
 
Kama ni afisa wa serikali je , ninawezaje kukataa wito wa kwenda ?
Fanya kazi ilio kupeleka maisha yao waachie wenyewe, mbona mkifika Ulaya mashoga wanatamba tu maana ni halali mnavumilia , lakini hapa Tanzania tunawachukia sana tu, kwahiyo ni vyema kukubaliana na wenyeji
 
Kazi iliyonipeleka ni kukaa nao na kuwatawala. Ndio nimegundua hizi tabia za kijinga.
Na kwa taarifa yako hawaachwi wafanye wanavyotaka , bali inawapasa wafate Sheria bila shuruti , umenielewa ww
 
Kazi iliyonipeleka ni kukaa nao na kuwatawala. Ndio nimegundua hizi tabia za kijinga.
Na kwa taarifa yako hawaachwi wafanye wanavyotaka , bali inawapasa wafate Sheria bila shuruti , umenielewa ww
Huwezi kuwatawala wana mtawala wao Dr Mwinyi, anakubaliana na hayo mambo hawezi pingana na wenyeji, wewe ukijifanya mjuaji lazima upate tabu
 
Back
Top Bottom