Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,739
- 3,012
Kabisa mkuu, ila nina madogo kibao ofisini kwetu wanaendekeza upuuzi wanapitia magumu sana.Kuna watu wamepanga kkoo wakati wananyumba dar vijijini. Kupanga kwao ndio imekuwa njia Bora.
Kukibwa ni flexibility. Huwezi kukomaa lazima nitokee kwangu au nikae kwangu wakati kukaa kwako kunakupa gharama mara 10 ya kukaa karibu na eneo lako la uzalishaji.