afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,149
- 9,247
@ Afro mwana wa denzi. itaendelea next jumanne, hakikisha unalog in mapema ehehehe
hahahahah lol ok
naon unapokezana lap top ok... no probs
@ Afro mwana wa denzi. itaendelea next jumanne, hakikisha unalog in mapema ehehehe
Jamani msaada kwenye tuta. Ama kweli utamaduni wa watu wengine shida kwangu.
Hawa jamani (wazungu) walianzaje hii kitu? Najua bongo nasi tunaenda huku tu...........
Sijui niseme?
Basi ngoja nieleze kinachonisibu.
Wazungu (wazeee yaani babu/bibi, baba/mama, vijana wa dotcom) iwe kwenye basi, reli, au wanatembea kwa miguu mara dosi ya dakika 5 (kunywa mate, mpaka wanalia kwenye road) ndio safari inaendelea. Wengine tunapata mfadhaiko wa moyo tunawakumbuka wenzetu ambao wako mbali nasi.
Nawakilisha
ila wananikumbusha ........... na kunipa presure na sipendi kuchakachua.
Enzi zetu bongo mtu kuongoza na mkeo mwiko yaani lazima mpishane hatua 100 hata kama mnaenda sehemu moja. Achilia mbali kushikana mikono.
Wataalamu hebu tupeane shule hawa jamaa walianzaje kuwa "huru" hivi?
Je, wanakuwa wako serious in love au wengine wazuga tu?
Wabongo tunaenda huko, nini faida na hasara ya kufika huko?
Eh...Asije akawa ni bosi wangu... ngoja nisepe...Preta usijifanye hujaelewa wakati siku zile kabla hujawa bosi ulikuwa unawachungulia sana akina Danny na Tom wanavyonanihiino na wachumba zao pale kwenye s/pool!
aaaaahhhhhh bwana mambo ndo yalikuwa yanaanza kupamba moto......
mmmmhhhh endelea tu hahahahha lol
:hungry:
Preta usijifanye hujaelewa wakati siku zile kabla hujawa bosi ulikuwa unawachungulia sana akina Danny na Tom wanavyonanihiino na wachumba zao pale kwenye s/pool!
Muulize Preta kama kule Yaeda ni ya kawaida tu...
Baada ya muda hata ushoga utaonekana kawaida.hasa bongo
hahah... wewe sasa wewe....Preta usijifanye hujaelewa wakati siku zile kabla hujawa bosi ulikuwa unawachungulia sana akina Danny na Tom wanavyonanihiino na wachumba zao pale kwenye s/pool!