Hoja yako hasa ilikuwa nini?Ni wapi nimesema hapatoshi?
Acha URONGO wewe, ni historia gani hiyo unayoisema wewe? Pitia humu uone historia ya mamlaka za serikali za mitaa na miji na manispaa za kwanza nchi hii tangu kipindi cha Mjerumani unachosema.Wakati wa Utawala wa Wakoloni Wajerumani walikuwa na mpango wa kuhamisha Mji Mkuu wao ktk Dar kwenda Tabora, na sababu KUU waliyoitoa ndiyo ile ile Mwalimu Nyerere &Co. waliokuja kuitoa miaka mingi baadaye, ya kuhamishia Mji Mkuu Dodoma, Wajerumani waliamini kwamba Tabora iko kati kati mwa nchi, lkn jitihada zao zilikatishwa na Vita Kuu ya Dunia iliyoanza!
Hata Wakoloni Waingereza walivyokuja pia walitambua umuhimu wa Mji wa Tabora na kujenga Shule ya Tabora Boys/Girls ambayo ilikuwa modeled after Eton college ya Uingereza, na lengo lilikuwa ni kuelimisha maelite wa kesho, yaani Viongozi wa kuja kuongoza Tanzania ijayo na ndipo Mwalimu Nyerere na kundi lake walipotokea!
Sasa sijui kwa nini Tabora ikapotezewa na kuchaguliwa Dodoma, hata hivyo ni sehemu tu ya Historia na haina maana yoyote ile, leo hii, ...
KATIKA NCHI HII KULIHITAJIKA KUA MAHALA PAKUKAA MJI MKUU NI KILWA KUNA VIPENGELE VINGI NA VYAMUHIMU VYA KUTOSHA KWANZA NGOME KUBWA KATIKA AFRICA MASHARIKI ILIKUWA KILWA MJI WENYE MAJEGO MADHUBUTI NA KIFALME YALIKUA KILWA BANDARI ILIOKUA IKIFANYA BIASHARA KWA BAHARINI ILIKUA KILWA MAMBO MWENGI TU MPAKA PESA YA KILWA ILIKUWEPO NAYO NI HIIWakati wa Utawala wa Wakoloni Wajerumani walikuwa na mpango wa kuhamisha Mji Mkuu wao ktk Dar kwenda Tabora, na sababu KUU waliyoitoa ndiyo ile ile Mwalimu Nyerere &Co. waliokuja kuitoa miaka mingi baadaye, ya kuhamishia Mji Mkuu Dodoma, Wajerumani waliamini kwamba Tabora iko kati kati mwa nchi, lkn jitihada zao zilikatishwa na Vita Kuu ya Dunia iliyoanza!
Hata Wakoloni Waingereza walivyokuja pia walitambua umuhimu wa Mji wa Tabora na kujenga Shule ya Tabora Boys/Girls ambayo ilikuwa modeled after Eton college ya Uingereza, na lengo lilikuwa ni kuelimisha maelite wa kesho, yaani Viongozi wa kuja kuongoza Tanzania ijayo na ndipo Mwalimu Nyerere na kundi lake walipotokea!
Sasa sijui kwa nini Tabora ikapotezewa na kuchaguliwa Dodoma, hata hivyo ni sehemu tu ya Historia na haina maana yoyote ile, leo hii, ...
Hapana, historia hiyo ina maana kubwa sana!! Kwamba, suala la kuhama Dar es salaam liliwashinda hata wakoloni seuze Sizonje!!! Matokeo yake ndo haya... ili ionekane tumeweza hakuna namna zaidi ya kwenda kuvamia majengo ambayo yalijengwa mahususi kwa ajili ya chuo kikuu!hata hivyo ni sehemu tu ya Historia na haina maana yoyote ile, leo hii, ...
Tangu Dodoma iwe declared kama makao makuu, ni zaidi ya miaka 40 sasa!! Kuna maendeleo gani Dodoma?! Kuna watu wa dini gani Dodoma?! Nini kimefanya hadi sasa bado wawe wanasua sua?!Tatzo ni ile Dini iliyotangulia hapo haipatani na Maendeleo.
Ukweli unauma
Hawapendi kuona makoloni waliyopita yakiendelea. Walijenga vijumba vya kuabudia vidhaifu hata hawakuwekeza kwenye Elimu wala Afya.
Hapo ndo shida ilipoanzia.
Spat picha Wajerumani Wangejenga kuleeee kama walivyoijenga Tanga na Tabora.
KATIKA NCHI HII KULIHITAJIKA KUA MAHALA PAKUKAA MJI MKUU NI KILWA KUNA VIPENGELE VINGI NA VYAMUHIMU VYA KUTOSHA KWANZA NGOME KUBWA KATIKA AFRICA MASHARIKI ILIKUWA KILWA MJI WENYE MAJEGO MADHUBUTI NA KIFALME YALIKUA KILWA BANDARI ILIOKUA IKIFANYA BIASHARA KWA BAHARINI ILIKUA KILWA MAMBO MWENGI TU MPAKA PESA YA KILWA ILIKUWEPO NAYO NI HII
Hahahaaa Samahani kama nimekugusa mahal ila mie sijagusa shule mjukuu wanguAkili za Kibashite hizi kama sio za kipumbavu!! Tangu Dodoma iwe declared kama makao makuu, ni zaidi ya miaka 40 sasa!! Kuna maendeleo gani Dodoma?! Kuna watu wa dini gani Dodoma?! Nini kimefanya hadi sasa bado wawe wanasua sua?!
Na ulivyo mpumbavu hivi unaweza kusema kwamba nchi hii umaskini upo kwa watu wa dini fulani tu na dini nyingine ni matajiri?! Halafu watu kama nyinyi ndio huwa mnajiita wasomi wakati hata uongeaji wako unaonekana ni kama mtu ambae hajagusa hata darasa moja!!! Nyie ni wale maju'ha wanaoonea fahari matokeo mazuri kama ya Marian Girls ambayo inachukua Wakristo wachache sana huku mkisahau mamia kwa mamia ya shule ambazo ndizo zinachukua Wakristo wengi zaidi na majority ni viwanda vya kuzalisha zero!!!
Na pia Mtwara ilikua imepangwa iwe jiji kubwa kuliko yote africa mashariki na kati. Waingereza hao walipanga ndio uhuru ukaja.
Hapana, historia hiyo ina maana kubwa sana!! Kwamba, suala la kuhama Dar es salaam liliwashinda hata wakoloni seuze Sizonje!!! Matokeo yake ndo haya... ili ionekane tumeweza hakuna namna zaidi ya kwenda kuvamia majengo ambayo yalijengwa mahususi kwa ajili ya chuo kikuu!
Dah! Najisikia fadhaha sana kufahamu kwamba eti Barbosa nae ni ndugu yangu!!! Lakini haidhuru; ili mradi jamaa zako tunaendelea kuwafuta kule; we endelea nao tu!!!Ingawaje huko mimi ni home lkn bado sidhani kama Kilwa pangefaa kuwa Mji Mkuu kwani hapana tofauti na Dar yetu!
Dah! Najisikia fadhaha sana kufahamu kwamba eti Barbosa nae ni ndugu yangu!!! Lakini haidhuru; ili mradi jamaa zako tunaendelea kuwafuta kule; we endelea nao tu!!!
But all in all, Kilwa hapana sifa za kuwa Makao Makuu!!
qaxemvule, Kilwa unayoizungumzia wewe ni Kilwa ya Waajemi kabla ya ujio wa Wareno!! Of course, kabla ya kuja Wareno, Kilwa ilikuwa mji mkubwa sana na wenye ushawishi kwa Afrika Mashariki kuliko Mombasa na Zanzibar let alone Dar es salaam!!
Hata hivyo, Wareno walipoingia waliibomoa Kilwa na Wajerumani waliikuta Kilwa is dead!! Sema kama si Wareno, huenda watu wanavyogoma hivi sasa kuondoka Dar es salaam ndo ingekuwa wanagoma kuondoka Kilwa!!!