Kwa msemo huu "no jesus no life" kipi kilianza..?

Kwa nn lazima kumfuata yesu?.Kabla ya yesu walimfuata nani?Je wote walienda motoni kwa sababu yesu hakuwepo?
Je yesu alikuja kufanya nn?
Ameondoa madhambi gani?
Je yeye si ni mungu kama msemavyo?
Kwa hiyo kwa haraka haraka alikuja kutuokoa sisi kutoka katika hukumu yake yeye mwenyewe?IDIOT

......Free idea......
Mbona unajiuliza maswali kuhusu Yesu na wakati huamini kwamba kuna Dini .acha hofu na Imani yako kaa na imani yako acha kutukana wenzako.
 
Ile kuamini tu kuna kitu,mtu,muumba sijui na nini huko juu tayat ni udhaifu.Then ukishaanza kufuata vitabu vya dini tayar umeingia complete kwenye giza nene la kifikra pamoja na kujiwekea wigo wa kutafakari mambo

Imani ni ugonjwa mbaya sana unaoathiri akili ya mwanadamu miaka mingi sana sasa.Imani (hasa katika mungu)inafanya mwanadamu ashindwe kufikiri kitimamu na kuyakabili mazingira yake,imani humfanya afikiri kwamba kuna kitu ama nguvu huko juu mbayo itampa kila anachohita kwa kufanya maombi(sala).Huu ni ujinha wa kiwango cha standard gauge. Nasema ni ujinga sababu kama watu hawa wakieleweshwa wanaweza kuacha kabisa kufikiri vitu vya namna hii.

I don't believe in God and am Happy. Kuamini katika mungu ni maamuzi tu lakini wengi hawajui kua mungu ni idea tu inayorun ubongo wa mwanadamu kwa miaka mingi sana.Idea hii imepandikizwa kwa project maalum tanzi hata kabla ya roman empire!Huu ni mradi maalum wa kusoften akili ya mwanadamu na kumfanya kutawalika kiurahisi.

Ninayo mengi sana ya kuongea but itategemea na maswali.
Think big and come out of the Box

......Free Ideas......
Ina maana watu wanaoamini mungu hawafanyi kazi?

Ina maana maendeleo huletwa na wasioamini mungu?

Au sijakuelewa vizuri?
 
Wanaposema no jesus no life wanamaanisha kua usipomuamini jesus hutaishi ile kitu inaitwa uhai wa milele kwamba utakapokufa kama ulikua humuamini yesu basi wewe hutakua na maisha after kifo tena......... Ndo nimeishi miaka yangu yote huo msemo huo nikiuelewa hivyo
Kwa fikra uliyotoa ni kuwa hakutakuwa na Judgement Day kwa watu wasio mfuata Yesu??....definetely every human must be Judged! If one is Not Ressurected then how can he be judged?? Lazima mtu aletwe kwenye Uhai ili Mungu aweze kumhukumu. Na akiletwa kwenye uhai hakuna kufa tena. Kwa hiyo hiyo fikra yako is not possible.
 
Ile kuamini tu kuna kitu,mtu,muumba sijui na nini huko juu tayat ni udhaifu.Then ukishaanza kufuata vitabu vya dini tayar umeingia complete kwenye giza nene la kifikra pamoja na kujiwekea wigo wa kutafakari mambo

Imani ni ugonjwa mbaya sana unaoathiri akili ya mwanadamu miaka mingi sana sasa.Imani (hasa katika mungu)inafanya mwanadamu ashindwe kufikiri kitimamu na kuyakabili mazingira yake,imani humfanya afikiri kwamba kuna kitu ama nguvu huko juu mbayo itampa kila anachohita kwa kufanya maombi(sala).Huu ni ujinha wa kiwango cha standard gauge. Nasema ni ujinga sababu kama watu hawa wakieleweshwa wanaweza kuacha kabisa kufikiri vitu vya namna hii.

I don't believe in God and am Happy. Kuamini katika mungu ni maamuzi tu lakini wengi hawajui kua mungu ni idea tu inayorun ubongo wa mwanadamu kwa miaka mingi sana.Idea hii imepandikizwa kwa project maalum tanzi hata kabla ya roman empire!Huu ni mradi maalum wa kusoften akili ya mwanadamu na kumfanya kutawalika kiurahisi.

Ninayo mengi sana ya kuongea but itategemea na maswali.
Think big and come out of the Box

......Free Ideas......
Nikikwambia masahani, vyombo vyako vya nyumbani, nguo ulizovaa, gari unayoendesha vyote vimetokea tuu vyenyewe hakuna mtu alivyo vitengeneza je Utanionaje?
 
Habari wakuu..?
"no jesus no life"
Huu msemo nimekuwa nikiusikia kwa watu mbalimbali,fikra zangu zimenivuta niujadili.

Kwanza kabisa kwa nijuavyo mimi life-maisha means uhai.
Nachotaka kujua huyo Jesus/Yesu kati yake na maisha kipi kilianza?

Kama alianza yeye kabla ya maisha je alianzaje?

Na kama hakuanza yeye itakuwaje "no jesus no life"?

Nawakaribisha nyote ili mnieleweshe kuhusu hili.

Some Genesis chapter One, na Kitabu cha John Chapter one.
 
Nikikwambia masahani, vyombo vyako vya nyumbani, nguo ulizovaa, gari unayoendesha vyote vimetokea tuu vyenyewe hakuna mtu alivyo vitengeneza je Utanionaje?
Wakati unaniuliza hivyo fikiria jibu utakalonipa nikikuuliza asili ya mungu wako ni ipiIkiwa unakubali ama unaamini kwamba mungu alitokea tu wala hakuumbwa inakuaje usiamini pia kwamba dunia imetokea tu by chance?.
....Free ideas.....
 
Kumbe na wewe unaamini?
 
Kwa fikra uliyotoa ni kuwa hakutakuwa na Judgement Day kwa watu wasio mfuata Yesu??....definetely every human must be Judged! If one is Not Ressurected then how can he be judged?? Lazima mtu aletwe kwenye Uhai ili Mungu aweze kumhukumu. Na akiletwa kwenye uhai hakuna kufa tena. Kwa hiyo hiyo fikra yako is not possible.
Asa mkuu judgment gani tena wkt tulishakombolewa????......... Haina haja ya kuhukumiwa wakati yesu kristo alishabeba zambi zetu zote na kufa nazo msalabani
 
Kwa nn lazima kumfuata yesu?.Kabla ya yesu walimfuata nani?Je wote walienda motoni kwa sababu yesu hakuwepo?
Je yesu alikuja kufanya nn?
Ameondoa madhambi gani?
Je yeye si ni mungu kama msemavyo?
Kwa hiyo kwa haraka haraka alikuja kutuokoa sisi kutoka katika hukumu yake yeye mwenyewe?IDIOT

......Free idea......
mkuu cc tushakombolewa hapa tunaishi tuuu utende zambi usitende zambi we cku ya mwisho ni mbinguni tuuu....... Labda kama kufa kwake kuna maana nyingine... Maana huwez sema kua alikufa kwa ajili ya zambi zetu af uje tena unihukumu zambi gani sasa uliyoniokoa nayo
 
Wakati unaniuliza hivyo fikiria jibu utakalonipa nikikuuliza asili ya mungu wako ni ipiIkiwa unakubali ama unaamini kwamba mungu alitokea tu wala hakuumbwa inakuaje usiamini pia kwamba dunia imetokea tu by chance?.
....Free ideas.....
Twende taratibu. Hakuna mtu aliyezungumza suala la Mungu bado. Kwanza ungejibu swali langu.
 
Asa mkuu judgment gani tena wkt tulishakombolewa????......... Haina haja ya kuhukumiwa wakati yesu kristo alishabeba zambi zetu zote na kufa nazo msalabani
Hiyo ni imani ya kikiristo isiyokuwa na ushahidi wowote wa kuthibitika wa kuhusiana na kukombolewa. Hakuna suala la kukombolewa. Kila mmoja anabeba mzigo wake yeye mwenyewe na atakukumiwa kwa aliyoyafanya.
 
Mkuu hata mimi bado nipo njia panda kama kweli aliupenda ulimwengu pamoja na watu wake kwanini asingemwondoa shetani pamoja na mambo yake mabaya sasa kufa msalabani sisi tumekombolewa kivipi wakati bado kunavitisho vya moto wa milele.
 
ha ha! huo moto sioni hata faida yake kwake huko ni kutekana akili kwa kutumia emotion ya uoga!
 
HIYO SENTENCE NAVYOELEWA INA MAANA KWAMBA..MAISHA YANAYOONGELEWA HAPO NI MAISHA YALE YA MILELE (KIIMANI KUNA MAISHA BAADA YA KIFO NDO HAYO YA MILELE) SASA ILI UWEZE KUJA KUISHI HAYO MAISHA NDIO UNATAKIWA UWEZE KUMFWATA YESU (YESU ALISEMA 'MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA,MTU HAWEZ KUFIKA KWA BABA(MUNGU) ILA KUPITIA MIMI )..UZIMA WA MILELE UPO KWA YESU HALELUYA,BWANA APEWE SIFA... MBARIKIWE
hata uzima wa milele yesu mwenyewe aliusema(na uzima wa mileee ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli...
 
Back
Top Bottom