Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}​
Idea nzuri, hongera sana.....๐Ÿค๐Ÿค
 
Unamuangalia mtu na ku-conclude?? Vp humphrey polepole unaujua muonekano wake? Ila kama sikosei posho yake ya ubaloz ya siku moja ni mshahara wako miaka3.
Ndugu yangu Wana wivu tu...pengine tokea azaliwe sehemu nzuri aliyo wahi kutembelea ni dar es salaam na cocobeach๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ​
 
Dah Wana wanamdiss mwanangu IDDY S MHANDO kisa mwonokano wanasahau so mda yupo huko maana alikuwa huku jehanam na alitaka kuuwawa kabla hajakimbilia huko mbinguni .

Mwanangu mwenyewe embu toa ABC mtu akitaka kuja huko ajiandae na nini ? Hasa vibali ,mshiko na mengineyo ili vijana wafanye chapu kuja kukucheki hapo ushuani
Nitaandaa Uzi maalum kwaajili hiyo Wala usijali ndugu yangu... kwenye Uzi huo nitamwaga nondo zote kuanzia nauli, visa na gharama za maisha kule...!​
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ khaaaa!!!
Ila nimecheka aiseee!! Ww jamaa unazingua
 
Kuwa mwembamba ni njaa?? Unaakili ww? Akili zako zinatumika sawasawa?
January makamba mwembamba
Jerry silaa mwembamba
Hussein bashe mwembamba
Humphrey polepole mwembamba
Luhaga mpina mwembamba
IGP camilius mwembamba
Kumbe na hawa ni njaa.
Paulo Kagame wa Rwanda mwembamba, Obama wa USA mwembamba... list ni ndefu pengine yeye kwake mtu kibonge ndie mwenye Hali nzuri...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kinacho msumbua ni wivu tu na sio kitu kingine....!​
 
Back
Top Bottom