MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,239
- 4,475
Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish sport cars, Private jets, Private Yachts kama kina Christiano Ronaldo, Lionel Messi, Jay z, Kanye west, Kardashians nk.
Pamoja na wote hao, na kwa nyakati tulizopo bado sijaona mtu anayeishi maisha ya Starehe (Lavish Lifestyle) na Carefree Life kama Mwamba mmoja anayejiita DAN BILZERIAN.
Huenda ukapinga kwa hoja mbalimbali kwamba wapo wenye pesa na wanaofanya starehe zaidi yake, Lakini ukiangalia mtu kama Bill gate, Elon Musk, Mark Zuckerberg nk. Muda mwingi wanafanya kazi na hawawezi kamwe kuishi free life muda wote wanamulikwa na camera na wapo na walinzi (security) na mara nyingi focus zao zipo katika biashara na nafasi zao katika jamii/serikali. Same to Christiano Ronaldo, Messi, Jay z nk. Wote hawana muda mwingi wa starehe, muda mwingi aidha wanacheza soka au wanatengeneza mziki nk.
Ila huyu mwamba 24hrs/Week yupo katika Starehe 😀, Nimejaribu kugoogle details zake anafanya shughuli gani, Inasemekana ni mcheza kamari maarufu.Mwamba muda wote yupo kwenye starehe 😀
Unaweza kumtafuta Instagram anaitwa DAN BILZERIAN