PROPHET POLY
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 469
- 72
huna akili ww. iyo ndo dawa ya watu wanaojifanya hawafati maelekezo ya serikali .hakuna kuhurumiana
Think big.Kama kweli ni sheria inafwatwa basi kwa mujibu wa Magufuli toka uwaziri wake alisema Jengo la Tanesco Ubungo..liko njiani na nilakubomoa.Sasa ni Raisi na nilitegemea angeanza nalo na badala yake ameanza na nyumba za maskini!!!!
Msilete ushabiki wa kijinga kwani kinachoendelea ni unyanyasaji.
Hayo mahindi yanachukuwa muda gani mpaka kuvunwa kiasi kwamba wafyeke bika kiwasubiri??
BADALA YA KUONDOA UMASKINI WANAONGEZA UMASKINI.
SASA HUKO NDIO KUJENGA VIWANDA NCHI NZIMA NA KUONGEZA AJIRA? NA HIYO NDII KAMPENI YAO?
TUJUE HAZINA ILIKUWA NA KIASI GANI NA IMEINGIZA KIASI GANI NA NINI MPANGO WA KUSHUSHA DOLA KWA KUWEKEZA KUZALISHA BIDHAA HAPA NCHINI ILI SHILINGI ITUMIKE KWA WINGI?