Tunaomfahamu huku Tarime wala hatuhangaiki nae maana tunaelewa yupo kazini.Nimesoma andiko la mtu mmoja anayejiita "Magoiga SN" akieleza kuwa eti Roma hakutekwa ila alifichwa ili kumuangushia jumba bovu Bashite. Kwa maelezo yake mpango huo ulipangwa na anaowaitwa "wauzaji wa sembe".
Sikutaka kumjibu lakini kwa faida ta watanzania ngoja nimjibu ili asiendelee kupotosha.
Ili kuweka kumbukumbu sawa, niwakumbushe tu kuwa Ben alipopotea huyu Magoiga alisema ni filamu iliyotengenezwa na Chadema ili kujipatia umaarufu kisiasa. Nilimuonya uache ujinga kwenye mambo yanayohusu uhai wa mtu. Lakini hakusukia. Alipoona anashindwa kudhibitisha namna viongozi wa Chadema walivyohusika akasema Ben kajiteka mwenyewe. Ninazo nakala zake zote za maandiko kuhusu Ben (hata zile alizofuta).
Kubenea alipojitokeza kueleza UONGO kuhusu Ben, Magoiga aliamua kukaa upande wa Kubenea. Akamsupport. Magoiga akatumia nguvu nyingi kuwaainisha watu kuwa yaliyoandikwa na MwanaHalisi ni kweli. UTG waliposema Kubenea anapotosha, Magoiga huyuhuyu akajitokeza na kusema UTG walikua na dili la kuuza tishirt, kwa hiyo Kubenea aliharibu dili lao ndio maana wanampinga.
Baada ya Kubenea kueleza kile alichokiita "Ben kuonekana kwenye vijiwe vya kahawa" Magoiga akasema filamu inakaribia kufika mwisho na Ben atapatikana kutoka huko alikojificha. Leo ni mwezi wa 5 Ben hajapatikana. Unafiki.!
Magoiga huyuhuyu alipoona issue ya Ben ni serious na sio "filamu" kama alivyowaaminisha watu, hakuomba radhi. Badala yake akaanza kujirudi na kusema viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta Ben alipopotea. Yani Magoiga yuleyule aliyesema Ben amejificha, leo anasema Ben amepotea na eti viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta?? Viongozi walewale aliosema wamecheza filamu ya kumficha Ben ndio haohao anaosema hawakuwa serious kumtafuta? Huu ni UNAFIKI wa kiwango cha juu mno.
Sasa hili la Roma nalo ameanza kufanya upuuzi uleule alioufanya kwa Ben. Magoiga aliandika hapa juzi kuwa tuungane kumtafuta Roma bila kujali itikadi zetu za kisiasa. Akasema tusianze kuhukumu Polisi bila kujua wahusika halisi waliomteka Roma. Watu wakashikamana kwa umoja kupiga kelele hadi Roma na wenzie wamepatikana.
Cha ajabu baada ya Roma kupatikana, hata kabla Roma hajaeleza kilichomfika, Magoiga ameshamhukumu. Ameibuka na kusema eti ni movie iliyotungwa ili kumng'oa Bashite madarakani. Yeye anasema "kumuangushia jumba bovu" Akili gani hizi??
Magoiga yuleyule aliyesema tusihukumu Polisi bila kujua wahusika halisi, yeye tayari ameshamhukumu Roma bila kujua wahusika waliomteka. Roma kasema ataongea kesho kueleza yaliyowafika, Magoiga kabla hata hajamsikiliza Roma ameshamhhukumu kuwa eti ni filamu.
Magoiga ana-bore sana kuweka siasa kwenye uhai wa watu? Hata kama anatafuta uteuzi lakini si kwa namna hii. Anadhani maisha ya mtu yana thamani sawa na cheo cha Bashite? Yani cheo cha Bashite kwa Magoiga kina thamani kuliko uhai wa binadamu wenzie? Yani uRC wa Bashite, ni wa maana kuliko maisha ya Roma, Ben etc?? Ndio maana haoni hatari ya uhai kwa watanzania waliotekwa, ila anaona hatari ya cheo cha Bashite kupotea. Lini huyu Magoiga ataacha kufikiri kwa kutumia fuvu?
Kama kutekwa kwa Roma lengo ni kumuondoa Bashite madarakani, vipi watanzania wengine waliotekwa na kupotea?? Tarehe 13/03/2017 kijana Erick Msyaliha alichukuliwa nyumbani kwake Sinza na watu waliojitambulisha kuwa "polisi" na hadi leo hajulikani alipo. Je huyo nae amefuchwa ili kumuondoa Bashite ofisini?? Juzi mkoani Mara mtu mmoja alitekwa na kuuawa kisha kufungwa kwenye baiskeli kama kifurushi na kutoswa majini, je huyo nae alifichwa ili kumuondoa Bashite ofisini?
Katika hili Magoiga ameonesha uwezo mdogo sana aa kufikiri. Has proved to be weak minded, lunatic, empty headed, vacuous, vapid, boring and tedious.
Kuna mambo ya kufanyia siasa lakini si maisha ya mtu. Mwambieni Magoiga aache kabisa huo UPUMBAVU. Afanye siasa kwenye mambo mengine sio kuhusu uhai wa watu. Na kama hajui kitu ajifunze kunyamaza sio kuonesha hadharani alivyo blank kichwani.
Kwa matukio haya mawili Magoiga anapaswa kuziomba radhi familia ya Ben na familia ya Roma. Maisha ya binadamu hajawezi kulinganishwa na cheo cha Bashite wala cheo cha mtu yeyote duniani. Uhai wa mtu haujawahi kuwa na mbadala. Tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu. Tutetee maisha ya kila mmoja wetu bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kidini, kikabila etc.!
Malisa GJ
Usiogope.Bora mama yako angebana mapaja ukafa wakati unazaliwa kuliko kuwa hai na akili kama hizi. Unalinganisha maisha ya watu na issue ya siasa ? Tuache siasa kwenye maisha ya watanzania wenzetu. Samahani kwa kutumia lugha ngumu lengo si kukutusi bali kukupa nafasi ya kujitafakari
Malisa maneno yote haya Magoiga akihamia CHADEMA mnampa ugombea urais.Nimesoma andiko la mtu mmoja anayejiita "Magoiga SN" akieleza kuwa eti Roma hakutekwa ila alifichwa ili kumuangushia jumba bovu Bashite. Kwa maelezo yake mpango huo ulipangwa na anaowaitwa "wauzaji wa sembe".
Sikutaka kumjibu lakini kwa faida ta watanzania ngoja nimjibu ili asiendelee kupotosha.
Ili kuweka kumbukumbu sawa, niwakumbushe tu kuwa Ben alipopotea huyu Magoiga alisema ni filamu iliyotengenezwa na Chadema ili kujipatia umaarufu kisiasa. Nilimuonya uache ujinga kwenye mambo yanayohusu uhai wa mtu. Lakini hakusukia. Alipoona anashindwa kudhibitisha namna viongozi wa Chadema walivyohusika akasema Ben kajiteka mwenyewe. Ninazo nakala zake zote za maandiko kuhusu Ben (hata zile alizofuta).
Kubenea alipojitokeza kueleza UONGO kuhusu Ben, Magoiga aliamua kukaa upande wa Kubenea. Akamsupport. Magoiga akatumia nguvu nyingi kuwaainisha watu kuwa yaliyoandikwa na MwanaHalisi ni kweli. UTG waliposema Kubenea anapotosha, Magoiga huyuhuyu akajitokeza na kusema UTG walikua na dili la kuuza tishirt, kwa hiyo Kubenea aliharibu dili lao ndio maana wanampinga.
Baada ya Kubenea kueleza kile alichokiita "Ben kuonekana kwenye vijiwe vya kahawa" Magoiga akasema filamu inakaribia kufika mwisho na Ben atapatikana kutoka huko alikojificha. Leo ni mwezi wa 5 Ben hajapatikana. Unafiki.!
Magoiga huyuhuyu alipoona issue ya Ben ni serious na sio "filamu" kama alivyowaaminisha watu, hakuomba radhi. Badala yake akaanza kujirudi na kusema viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta Ben alipopotea. Yani Magoiga yuleyule aliyesema Ben amejificha, leo anasema Ben amepotea na eti viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta?? Viongozi walewale aliosema wamecheza filamu ya kumficha Ben ndio haohao anaosema hawakuwa serious kumtafuta? Huu ni UNAFIKI wa kiwango cha juu mno.
Sasa hili la Roma nalo ameanza kufanya upuuzi uleule alioufanya kwa Ben. Magoiga aliandika hapa juzi kuwa tuungane kumtafuta Roma bila kujali itikadi zetu za kisiasa. Akasema tusianze kuhukumu Polisi bila kujua wahusika halisi waliomteka Roma. Watu wakashikamana kwa umoja kupiga kelele hadi Roma na wenzie wamepatikana.
Cha ajabu baada ya Roma kupatikana, hata kabla Roma hajaeleza kilichomfika, Magoiga ameshamhukumu. Ameibuka na kusema eti ni movie iliyotungwa ili kumng'oa Bashite madarakani. Yeye anasema "kumuangushia jumba bovu" Akili gani hizi??
Magoiga yuleyule aliyesema tusihukumu Polisi bila kujua wahusika halisi, yeye tayari ameshamhukumu Roma bila kujua wahusika waliomteka. Roma kasema ataongea kesho kueleza yaliyowafika, Magoiga kabla hata hajamsikiliza Roma ameshamhhukumu kuwa eti ni filamu.
Magoiga ana-bore sana kuweka siasa kwenye uhai wa watu? Hata kama anatafuta uteuzi lakini si kwa namna hii. Anadhani maisha ya mtu yana thamani sawa na cheo cha Bashite? Yani cheo cha Bashite kwa Magoiga kina thamani kuliko uhai wa binadamu wenzie? Yani uRC wa Bashite, ni wa maana kuliko maisha ya Roma, Ben etc?? Ndio maana haoni hatari ya uhai kwa watanzania waliotekwa, ila anaona hatari ya cheo cha Bashite kupotea. Lini huyu Magoiga ataacha kufikiri kwa kutumia fuvu?
Kama kutekwa kwa Roma lengo ni kumuondoa Bashite madarakani, vipi watanzania wengine waliotekwa na kupotea?? Tarehe 13/03/2017 kijana Erick Msyaliha alichukuliwa nyumbani kwake Sinza na watu waliojitambulisha kuwa "polisi" na hadi leo hajulikani alipo. Je huyo nae amefuchwa ili kumuondoa Bashite ofisini?? Juzi mkoani Mara mtu mmoja alitekwa na kuuawa kisha kufungwa kwenye baiskeli kama kifurushi na kutoswa majini, je huyo nae alifichwa ili kumuondoa Bashite ofisini?
Katika hili Magoiga ameonesha uwezo mdogo sana aa kufikiri. Has proved to be weak minded, lunatic, empty headed, vacuous, vapid, boring and tedious.
Kuna mambo ya kufanyia siasa lakini si maisha ya mtu. Mwambieni Magoiga aache kabisa huo UPUMBAVU. Afanye siasa kwenye mambo mengine sio kuhusu uhai wa watu. Na kama hajui kitu ajifunze kunyamaza sio kuonesha hadharani alivyo blank kichwani.
Kwa matukio haya mawili Magoiga anapaswa kuziomba radhi familia ya Ben na familia ya Roma. Maisha ya binadamu hajawezi kulinganishwa na cheo cha Bashite wala cheo cha mtu yeyote duniani. Uhai wa mtu haujawahi kuwa na mbadala. Tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu. Tutetee maisha ya kila mmoja wetu bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kidini, kikabila etc.!
Malisa GJ
Magoiga hoyee!! Kumbe mkuki kwa nguruwe!!! Nyote acheni kufanya siasa. Tena wewe ndiye unasiasa na kipumbavu kuzidi Mgoiga. Kila jambo likitokea huchelewi Kusema Makonda au polisi utaafikiria nchi hii majambazi na wahalifu wengine wamekwisha na migogoro kuhusu mali hakuna. Nyie ni Makonda polisi.Nimesoma andiko la mtu mmoja anayejiita "Magoiga SN" akieleza kuwa eti Roma hakutekwa ila alifichwa ili kumuangushia jumba bovu Bashite. Kwa maelezo yake mpango huo ulipangwa na anaowaitwa "wauzaji wa sembe".
Sikutaka kumjibu lakini kwa faida ta watanzania ngoja nimjibu ili asiendelee kupotosha.
Ili kuweka kumbukumbu sawa, niwakumbushe tu kuwa Ben alipopotea huyu Magoiga alisema ni filamu iliyotengenezwa na Chadema ili kujipatia umaarufu kisiasa. Nilimuonya uache ujinga kwenye mambo yanayohusu uhai wa mtu. Lakini hakusukia. Alipoona anashindwa kudhibitisha namna viongozi wa Chadema walivyohusika akasema Ben kajiteka mwenyewe. Ninazo nakala zake zote za maandiko kuhusu Ben (hata zile alizofuta).
Kubenea alipojitokeza kueleza UONGO kuhusu Ben, Magoiga aliamua kukaa upande wa Kubenea. Akamsupport. Magoiga akatumia nguvu nyingi kuwaainisha watu kuwa yaliyoandikwa na MwanaHalisi ni kweli. UTG waliposema Kubenea anapotosha, Magoiga huyuhuyu akajitokeza na kusema UTG walikua na dili la kuuza tishirt, kwa hiyo Kubenea aliharibu dili lao ndio maana wanampinga.
Baada ya Kubenea kueleza kile alichokiita "Ben kuonekana kwenye vijiwe vya kahawa" Magoiga akasema filamu inakaribia kufika mwisho na Ben atapatikana kutoka huko alikojificha. Leo ni mwezi wa 5 Ben hajapatikana. Unafiki.!
Magoiga huyuhuyu alipoona issue ya Ben ni serious na sio "filamu" kama alivyowaaminisha watu, hakuomba radhi. Badala yake akaanza kujirudi na kusema viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta Ben alipopotea. Yani Magoiga yuleyule aliyesema Ben amejificha, leo anasema Ben amepotea na eti viongozi wa Chadema hawakuwa serious kumtafuta?? Viongozi walewale aliosema wamecheza filamu ya kumficha Ben ndio haohao anaosema hawakuwa serious kumtafuta? Huu ni UNAFIKI wa kiwango cha juu mno.
Sasa hili la Roma nalo ameanza kufanya upuuzi uleule alioufanya kwa Ben. Magoiga aliandika hapa juzi kuwa tuungane kumtafuta Roma bila kujali itikadi zetu za kisiasa. Akasema tusianze kuhukumu Polisi bila kujua wahusika halisi waliomteka Roma. Watu wakashikamana kwa umoja kupiga kelele hadi Roma na wenzie wamepatikana.
Cha ajabu baada ya Roma kupatikana, hata kabla Roma hajaeleza kilichomfika, Magoiga ameshamhukumu. Ameibuka na kusema eti ni movie iliyotungwa ili kumng'oa Bashite madarakani. Yeye anasema "kumuangushia jumba bovu" Akili gani hizi??
Magoiga yuleyule aliyesema tusihukumu Polisi bila kujua wahusika halisi, yeye tayari ameshamhukumu Roma bila kujua wahusika waliomteka. Roma kasema ataongea kesho kueleza yaliyowafika, Magoiga kabla hata hajamsikiliza Roma ameshamhhukumu kuwa eti ni filamu.
Magoiga ana-bore sana kuweka siasa kwenye uhai wa watu? Hata kama anatafuta uteuzi lakini si kwa namna hii. Anadhani maisha ya mtu yana thamani sawa na cheo cha Bashite? Yani cheo cha Bashite kwa Magoiga kina thamani kuliko uhai wa binadamu wenzie? Yani uRC wa Bashite, ni wa maana kuliko maisha ya Roma, Ben etc?? Ndio maana haoni hatari ya uhai kwa watanzania waliotekwa, ila anaona hatari ya cheo cha Bashite kupotea. Lini huyu Magoiga ataacha kufikiri kwa kutumia fuvu?
Kama kutekwa kwa Roma lengo ni kumuondoa Bashite madarakani, vipi watanzania wengine waliotekwa na kupotea?? Tarehe 13/03/2017 kijana Erick Msyaliha alichukuliwa nyumbani kwake Sinza na watu waliojitambulisha kuwa "polisi" na hadi leo hajulikani alipo. Je huyo nae amefuchwa ili kumuondoa Bashite ofisini?? Juzi mkoani Mara mtu mmoja alitekwa na kuuawa kisha kufungwa kwenye baiskeli kama kifurushi na kutoswa majini, je huyo nae alifichwa ili kumuondoa Bashite ofisini?
Katika hili Magoiga ameonesha uwezo mdogo sana aa kufikiri. Has proved to be weak minded, lunatic, empty headed, vacuous, vapid, boring and tedious.
Kuna mambo ya kufanyia siasa lakini si maisha ya mtu. Mwambieni Magoiga aache kabisa huo UPUMBAVU. Afanye siasa kwenye mambo mengine sio kuhusu uhai wa watu. Na kama hajui kitu ajifunze kunyamaza sio kuonesha hadharani alivyo blank kichwani.
Kwa matukio haya mawili Magoiga anapaswa kuziomba radhi familia ya Ben na familia ya Roma. Maisha ya binadamu hajawezi kulinganishwa na cheo cha Bashite wala cheo cha mtu yeyote duniani. Uhai wa mtu haujawahi kuwa na mbadala. Tuheshimu uhai wa kila mmoja wetu. Tutetee maisha ya kila mmoja wetu bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kidini, kikabila etc.!
Malisa GJ
Kama ulikuwepo aligombea udiwani akapigwa chini njaa mbayaNdo ma-think tank wa CCM hao akina Maigogoi. Jamaa nimempuuza kitambo sana. Kule facebook anaandika mabandiko ya kipuuzi sana. Ila nilipata kumhoji ndugu yake mmoja wa pale Rock City akaniambia kwamba; jamaa anasumbuliwa sana na njaa, hivyo lengo lake ni kuhakikisha anapata nafasi ya uteuzi.
Kaulize changamoto za elimu bure"Individualism hazileti madawa, hazileti Elimu bure ,hazileti chakula" Dr magufuli alipokuwa akizindua ujenzi wa Saba fly over pale Ubungo
Hivi unatumia kiungo gani kufikiria?Think outside the box.
Ha haaa.... mdudu kumbe unamjua , ni mwanasheria njaa sana hy.... anatafuta kiki mkulu amuone.... kaisha muona angalau kidogo kwa kumpa Ukurugenzi baada ya kushindwa ubunge mara kibao.... ni wale wanao fikiria kwa matumbo yao na kuweka uhalisia pembeni hata kama wanaujua.....tunasema hy jamaa ni NJALA NJALA......Ndo ma-think tank wa CCM hao akina Maigogoi. Jamaa nimempuuza kitambo sana. Kule facebook anaandika mabandiko ya kipuuzi sana. Ila nilipata kumhoji ndugu yake mmoja wa pale Rock City akaniambia kwamba; jamaa anasumbuliwa sana na njaa, hivyo lengo lake ni kuhakikisha anapata nafasi ya uteuzi.
Kinaitwa Mfia Ufipa.Hivi unatumia kiungo gani kufikiria?
Umemsoma Malisa vizuri lakini au wewe ni mmoja wa wale wavivu wa kusoma?Hujaleta uthibitisho wa hilo unalolitetea...
You are the one locked in box of mediocrity. Wake up, we are discussing life and you are bringing old time politics! Get real "cannibal"! Or are you just being true to your name!Think outside the box.
Kwa hiyo una maana gani sasa? Ya Osama yalijulikana na ya Ben pia yanajulikana. Kwa nininkuonekana kuwalinganisha wawili hawa? Ben alikuwa gaidi?Theoretically yes uhai wa mtu ni mhimu kuliko chochote Lakini si uhai wa kila mtu una maana katika jamii. Uhai wa Osama ulikuwa na maana kwa waliokuwa upande wake lakini kuna wengi tu walioona nafuu kwa kifo chake.