Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
12,780
22,252
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:

2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66

Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔

Mwaka 2020 uliibwa, period.
 
Tatizo ni pale tunapoamua kulinganiisha siasa zetu na za USA
 
Mmezoea kuona ccm wanavyoiba kura sasa mmekariri tu kwamba kura zinaweza kuibwa pote.

Trump aliambiwa apeleke ushahidi mahakamani lkn alishindwa na Marekani hamna majaji wa kupokea maagizo kutoka juu kama ushahidi ungekuwepo angesikilizwa tu lkn ushindi wake wa sasa unadhihirisha wazi kwamba hakuna wizi wa kura Marekani.

Tume ya uchanguzi ya Marekani haina watu feki sampuli ya akina Mahela na wale majaji uchwara wanaotunukiwa ujaji kisa ni makada wa ccm.

NB: Aliyekuwa mgombea mwenza wa Trump wa wakati ule Bw. Mike Pence alikiri vema kwamba walishindwa kihalali na ndio maana alikataa kuunga mkono madai ya Trump.

Kuna factors nyingi zilizosababisha turnout ya 2020 kuwa kubwa ni pamoja na mauaji ya George Floyd alieuwawa na Racist Police.

Uchaguzi uliopita ulikuwa na nyingi Drama kuliko huu.
 
Tatizo ni pale tunapoamua kulinganiisha siasa zetu na za USA
Sasa hapo siasa zetu ziko wapi? Hiyo ni mada yako mpya na haina uhusiano na mada yangu.

Au wewe huna habari kuwa kulikuwa na kubishaniwa matokeo ya uchaguzi wa USA mwaka 2020 wakati Joe Biden anaingia madarakani
 
Mmezoea kuona ccm wanavyoiba kura sasa mmekariri tu kwamba kura zinaweza kuibwa pote.

Trump aliambiwa apeleke ushahidi mahakamani lkn alishindwa na Marekani hamna majaji wa kupokea maagizo kutoka juu kama ushahidi ungekuwepo angesikilizwa tu lkn ushindi wake wa sasa unadhihirisha wazi kwamba hakuna wizi wa kura Marekani.

Tume ya uchanguzi ya Marekani haina watu feki sampuli ya akina Mahela na wale majaji uchwara wanaotunukiwa ujaji kisa ni makada wa ccm.

NB: Aliyekuwa mgombea mwenza wa Trump wa wakati ule Bw. Mike Pence alikiri vema kwamba walishindwa kihalali na ndio maana alikataa kuunga mkono madai ya Trump.

Kwani Mike Pence anasemaje sasa baada ya Trump kushinda?
 
Sasa hapo siasa zetu ziko wapi? Hiyo ni mada yako mpya na haina uhusiano na mada yangu.

Au wewe huna habari kuwa kulikuwa na kubishaniwa matokeo ya uchaguzi wa USA mwaka 2020 wakati Joe Biden anaingia madarakani
Kupeleka wizi kwenye uchaguzi wa marekani ndo siasa zane zilipo
 
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:

2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66

Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔

Mwaka 2020 uliibwa, period.
Huo ndio ushahidi sio ?
 
Hizo hazichagui Rais ni electoral college votes ndio zenye nguvu hayo ni sawa na maoni tu. Inawezekana usipate hata kura moja lakini hawa jamaa 530+ wakakupa ushindi wa kura 270 ukawa Rais wa Marekani
 
Hujui kitu wewe. Unajua maana ya winner-take- all? Na kwa ratiba hao wajumbe wa electral vote wanapiga lini? Soma hapa.
 
Attachments

  • Screenshot_20241107_043945_Chrome.jpg
    Screenshot_20241107_043945_Chrome.jpg
    437.8 KB · Views: 1
Hizo hazichagui Rais ni electoral college votes ndio zenye nguvu hayo ni sawa na maoni tu. Inawezekana usipate hata kura moja lakini hawa jamaa 530+ wakakupa ushindi wa kura 270 ukawa Rais wa Marekani
Hauwezi kupata elctral votes hata Moja ikiwa hujashinda kwenye Jimbo lolote, kinachofanya mtu ashinde kwenye electro votes ni kishinda kwenye majimbo yenye electro votes nyingi kuliko mengine so anakua kimahesabu ya electro votes amemzidi mwenzie ingawa popular votes zinakua chache uwe unafuatilia vitu kwa undani kabla ya kusema
 
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:

2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66

Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔

Mwaka 2020 uliibwa, period.
Here are the total Republican vote counts for the last eight U.S. presidential elections:

2024 Donald Trump - 72.8M
2020 Donald Trump - 74.M
2016 Donald Trump - 63M
2012 Mitt Romney - 61M
2008 John McCain - 60M
2004 George W. Bush - 62.M
2000 George W. Bush - 50.5M

Here's a list of the Democratic presidential candidates' total votes last 8 elections.

2024 Kamala Harris - ~66.4M
2020 Joe Biden - 81.3M
2016 Hillary Clinton - 65.9M
2012 Barack Obama - 65.9M
2008Barack Obama - 69.5M
2004 John Kerry - 59.0M
2000 Al Gore - 51.0M
1996 Bill Clinton - 47.4M

There needs to be a full investigation into the 2020 postal voting and convictions made where fault is found.
 
Back
Top Bottom