Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

Shida sio kupenda medicine shid ataimudu Kwa hayo matokeo KUPATA chuo itakua ngumu mno hata vya private unless ajaribu mwanza university au kairuki na aongee na admission officer direct akishindw hapo arudie kutumia cheti Cha o level asome clinical medicine japo na yenyewe IPO overloaded sana anaweza kusoma diploma ya RADIOLOGY PHYSIOTHERAPY au clinical optometry then akipata gpa above 3 anaend degree akishindw akasome nje vyuo km Kampala main campus Uganda au china anaweza kusoma MD
 
Hapo nmekupata ko akienda nje akirudi atatambuliwa vizuri bila shida yeyote baada ya kumaliza kusoma
 
Habari dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni phy -E,chem-D na bios-C,je anaweza kusoma afya Kwa vyuo vya serikali au binafsi?binafsi anapenda udaktari au ufamasia,ushauri afanyaje,nawasilisha
Kama ndoto yake ni kusoma kozi za afya basi kwa haya matokeo yake ni changamoto kidogo kupata kwa level ya degree! Kama anataka MD basi aanzie tu diploma, clinical officer!

Huwa kuna mwongozo wa TCU unaonesha vigezo vyote vya kusoma kozi za degree, kwa hiyo aangalie huo mwongozo nafikiri atapata kozi zingine za afya za degree kulingana na ufaulu wake tofauti na degree ya medicine.

Pia kuna kozi zingine za afya (non clinical medicine) kama health management system nk ambazo wataalamu wake hawahusiki kutibu moja kwa moja lakini hufanya kazi kwenye sekta ya afya.

Kwa sasa kozi za afya zenye uhaba wa wataalamu ni radiology, dental, physiotherapy, occupational therapy nk ambazo kama anapenda achague mojwapo (aangalie vigezo vyao na ufaulu wake). Kwa hiyo kama anataka ajira mapema ni vyema akaangalia hizo pia.

Mwisho nafikiri anaweza akabahatisha baadhi ya kozi za degree hasa kwenye vyuo binafsi,,,, lakini aangalie vigezo vilivyopo kwenye mwongozo wa TCU, TCU guide book ya mwaka huu.

Kila lakheri.
 
Inatakiwa kuanzia C kwenye Chimistry na C kwenye Biology.. Alafu Physics kuanzia D.. Usimpe moyo mwambie ukweli hapati kitu. Kwa PCB kupata hiyo marks ni mzembe kabisa

Naomba unisaidie vigezo vilivyopo TCU labda anaweza kupata mwogozo
 
Kama ndoto yake ni kusoma kozi za afya basi kwa haya matokeo yake ni changamoto kidogo kupata kwa level ya degree! Kama anataka MD basi aanzie tu diploma, clinical officer!

Huwa kuna mwongozo wa TCU unaonesha vigezo vyote vya kusoma kozi za degree, kwa hiyo aangalie huo mwongozo nafikiri atapata kozi zingine za afya za degree kulingana na ufaulu wake tofauti na degree ya medicine.

Pia kuna kozi zingine za afya (non clinical medicine) kama health management system nk ambazo wataalamu wake hawahusiki kutibu moja kwa moja lakini hufanya kazi kwenye sekta ya afya.

Kwa sasa kozi za afya zenye uhaba wa wataalamu ni radiology, dental, physiotherapy, occupational therapy nk ambazo kama anapenda achague mojwapo (aangalie vigezo vyao na ufaulu wake). Kwa hiyo kama anataka ajira mapema ni vyema akaangalia hizo pia.

Mwisho nafikiri anaweza akabahatisha baadhi ya kozi za degree hasa kwenye vyuo binafsi,,,, lakini aangalie vigezo vilivyopo kwenye mwongozo wa TCU, TCU guide book ya mwaka huu.

Kila lakheri.
Nmekupata vizuri asante
 
Kwa sasa kusoma Md, pharmacy au Dds,,,, lazima uwe one ya 3 hadi7
Kwa Nacte A ni 1 zinaendelea kupanda had E ni 5….

Ila kwa TCU…
uwe na point nane kwenye masomo mawili….
Yaani hivi…
kwa TCU A ni point 5, B ni 4, C ni 3, D ni 2 na E ni moja.

PCB,,,,,, either
Upate A na A =10
Upate A na C =8
Upate B na A =9
Upate B na B=8

Huyu mtu ndio anaweza kwenda kusomea hizo course kwa vyuo vyote vya afya nchini.

Cha kusaidia aende akapige Diploma( clinical officer, ) miaka mitatu apate GPA kubwa ndio atumie kwenda MUHAS AU KCMC…
Ila kama uchumi unaruhusu mpeleke China au India wanasoma hadi div 3.
 
Back
Top Bottom