Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 667
- 3,209
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-
1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"
2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupika chakula soon. Inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.
Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.
3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.
4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake
5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui
6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"
7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.
Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili.
Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.
Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.
Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.
Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?
Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.