Kwa Mara ya Kwanza BEYONCE anamwonyesha Mtoto Wake

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,432
4de19159d0fcc266_blue-1.xxxlarge.jpg


Kwa Mara ya Kwanza Mrs
JayZ ,Queen
Beyonce ,amemuonyesha
hadharani mtoto (Binti) wao
kipenzi Baby Blue IV,.Em
mtazame fresh kisha niambie Kafanana na MAMA au BABA??
 
Yani Blue Ivy kachukua lile kengeza la Jigga full....!
Damu nzito sema tu ni vile maji hayana kivuli.
 
hahaaa hili sio goli la mkono hata kidogo...yaani kitu kimegiga nyavu za pembeni ...hongera mdogo wangu Jigga
 
4de19159d0fcc266_blue-1.xxxlarge.jpg


Kwa Mara ya Kwanza Mrs
JayZ ,Queen
Beyonce ,amemuonyesha
hadharani mtoto (Binti) wao
kipenzi Baby Blue IV,.Em
mtazame fresh kisha niambie Kafanana na MAMA au BABA??

Ka product ka Illuminati, uliza essence ya jina blue
 
kametokelezea ila hiyo pua,macho,na mdomo baadae atafinyiwa upasuaji tu na ataonekana poa
 
Jamaa inaonekana alikamua bao huku katoa macho kama fundi saa

Kaharibu kabisa mtoto
 
Back
Top Bottom