Kwako wewe haya ndio maoni ya raia wa RSA? mbona naona kama opinion ya kichaa mmoja tu ndani ya mamiiioni ya raia wa South Africa?
Hii yote Sababu ya Bashite. Bashite ujue unatutia laana nchi hii!!
Hayo nimaoni yake yeye kama yeye
sio maoni ya Wananchi wote wa A.kusini
mbona maoni ya polepole huwa mnayaita maoni ya chama?
Support u mkuuYaani oni la mtu mmoja unachukulia kama maoni ya nchi nzima,hivi hizi shule tulienda kusomea nn?
Alipaswa kutuambia hiyo sampuli yake kwa kumsample huyo mtu mmoja ni kati ya Tweet ngapi?Mkuu sampling ya mtu mmoja? What if ni mdogo wake Botha.... kaburu....
Polepole ana cheo gani kwenye chama?mbona maoni ya polepole huwa mnayaita maoni ya chama?
Asante sanaUnajua South Africa Ina Watu wangapi? Ngoja nikuambie siri yeye anawakilisha
1/55,369,570 au 0.0000018060℅
Hana akili huyo, yeye anadhani nchi tajiri au zenye uwezo zinaweza kusimama peke yake hapa duniani bila kujenga mahusiano mema na nchi zingine, haoni Marekani, China, n.k zinakuja hadi huku afrika kujenga uhusiano na nchi zetu?Kama wanafika hatua ya kutudharau hivi basi hata ziara ya huyu Raid wao haikuwa na maaana tena kwetuView attachment 508585
Hayo ni maoni ya wazungu wachache wenye mtizamo hasi .Kama kweli ni rais halis wa south Africa hawezi kutoa comment za kipumbavu kama hizo.Hata Mandela marehemu nchi ya kwanza kutia mguu baada ya kutoka jela 1990 ni TanzaniaKama wanafika hatua ya kutudharau hivi basi hata ziara ya huyu Raid wao haikuwa na maaana tena kwetuView attachment 508585
Babu za hao madogo ndio wale wazungu waliokuwa wakiwaua na kuwatesa waafrika wa kule SA. Ni wazungu fulani wenye roho mbaya na ukijichanganya ukaingia kwenye anga zao wanakufanyia mbaya kabisa.Hayo ni maoni ya wazungu wachache wenye mtizamo hasi .Kama kweli ni rais halis wa south Africa hawezi kutoa comment za kipumbavu kama hizo.Hata Mandela marehemu nchi ya kwanza kutia mguu baada ya kutoka jela 1990 ni Tanzania
Kama wanafika hatua ya kutudharau hivi basi hata ziara ya huyu Raid wao haikuwa na maaana tena kwetuView attachment 508585