Lwakalisa
Member
- Feb 26, 2013
- 27
- 12
Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi.
Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo ambayo mojawapo ni kuwa, mwanamke hatakiwi kuinama bali kama atahitaji kuchukua kitu kilichopo chini atachutama. Leo mabinti wanainama bila staha wala kujali mavazi waliovaa.
Natoa rai tuwarudishe vijana wetu katika mstari wa faida ya maisha yao mbeleni.