Kwa kilichonitokea madalali wa kibongo wana tamaa sana

Kuna ndugu yeye alitaka kununua banda ( pagale) madalali wakataka 12M, akashindwa yeye alifika 10 wakakataa, akapewa mbinu na jamaa ampe kazi mtu amtafute mwenye nyumba mwenyewe, baada ya wiki akapatikana bei yake ni M7.5 akalipa chap....wale wapuuzi walivyojua mnunuzi ni yule walimaindi kinoma.
wana tamaa za kisenge wamekosa hata hicho kidogo. katika 10 walikua wanapata 2.5..wanavyokazia 12 kama mali yao. wasenge sana
 
Yuko jamaa anauza shamba lake 150 M, madalali wakapata MTU wa 250 M , wakamwambia mwenye Mali utachukua 150 yako sisi tuchukue 100. Jamaakakataa kasema labda yeye achukue 200 madalali wachukue 50.
Madalali wakagoma na jamaa kasema hauzi.
Yuko tayari kuuza hata 100 lkn sio kutajirisha wajinga.
 
Nlikuwa natafuta kagari kadogo kavits kwa ajili ya shuhuli za kaz kuzungusha oda mjini nikaweka bejeti nitafute kagari cc ndogo ili kanisaidie kusambaza oda zangu hata kigari cha 4.5 m sawa

Nikaona mtu anauza vitz 4.3 kwenda kuikagua injini safi ila miguu inagonga gonga ya kufanya service,nyuma ishawahi kugongwa ajali, exouse ya kubadilisha alafu gari namba B Dalali kakaza 4.3 m fixed

Nikamwambi kula 4 nikairekebishe Kwa 4.3 marekebisho nikitumia 1m au 800 ni saawa nimewapa 5m ambayo naweza pata gari ndogo isiyo navipengele nikitulia , wakagoma nikasepa zangu

Kesho yake nikaweka tangazo mwenyewe insta nikalilipia lisambae kuwa natafuta vitz bajeti 4.m isiyo na vipngele na sitaki dalali nikasisitiza kabisa sitaki DALALI nataka muuzaji halisi , tangazo likaruka siku 2 akatokea mtu ana kavitz namba c bado mbichi akataka 4.2 kwenda kuicheki iko njema nikamlilia akakubali 4.1 nikaibeba

Somo nalotoa hapa ukiona huwaelewi madalali weka tangazo lako mwenyewe online likukutanishe na wenye mali maana madalali wamekuwa vibaka, watu mjifunze namna ya kukutana na wauzaji mali Direct madalali wamekuwa wezi , unakuta gari inauzwa na dalali huyu mili 20 mwingine mili 25, yaani gari inauzwa 15 m mtu anaweka 10 m kama faida madalali ni nuksi
Madalali wa mlimani city hao ndio zao na wanajiona wameyapatia teyari.
 
Yuko jamaa anauza shamba lake 150 M, madalali wakapata MTU wa 250 M , wakamwambia mwenye Mali utachukua 150 yako sisi tuchukue 100. Jamaakakataa kasema labda yeye achukue 200 madalali wachukue 50.
Madalali wakagoma na jamaa kasema hauzi.
Yuko tayari kuuza hata 100 lkn sio kutajirisha wajinga.
Alifanya vizuri
 
Mkuu ya kwangu, nilikuwa nakutania tu sometimes bi mkubwa ndio analitumia. Analikubali kinyama wakati mi naliona outdated. Mkuu ukisikia bei ya dalali mwambie asante then mzunguke kwa nyuma mtafute mm ilikiwa, utafurahi kwa bei utakayochukulia hiyo mali
Tumepewa taadhari hapo juu, ukiambiwa gari alikuwa anatumia mwana mama kimbia na marapa yako mkononi
 
Kuna ndugu yeye alitaka kununua banda ( pagale) madalali wakataka 12M, akashindwa yeye alifika 10 wakakataa, akapewa mbinu na jamaa ampe kazi mtu amtafute mwenye nyumba mwenyewe, baada ya wiki akapatikana bei yake ni M7.5 akalipa chap....wale wapuuzi walivyojua mnunuzi ni yule walimaindi kinoma.
Huyo jamaa nampa maua yake
 
Back
Top Bottom