MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
"Rangi ya Kijani ni rangi ya Dini ya Kiislamu na Mtume na hiyo rangi Nyekundu ni ya Shetani na wale upande wa Pili", Haji Manara.
Chanzo: EFM Sports Headquarters leo.
Kwahiyo kwa mujibu wake Haji Manara ni kwamba Waislamu ndiyo wana Dini ya Mungu na Yanga SC wote kwakuwa ni ya Kijani ila Wakristo na wana Simba SC ndiyo wana Dini ya Kishetani na wanapenda rangi Nyekundu.
Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Waziri wa Fedha Dkt. Nchemba, Waziri wa Utawala Bora Mzee Mkuchika, Waziri wa Michezo Bashungwa pamoja na Rais Mstaafu Mzee Kikwete endeleeni tu kumpa Jeuri hii Haji Manara kwa hiki akifanyacho ila tusije Kulaumiana.
Namalizia kwa kusema Sadism is inevitable when the situation is alarming (Ukatili hauzuiliki pale hali inapokuwa mbaya )
Haji Manara leo ninakuonya tena. Umeshatutukana hapa Wakristo wote kuwa tunashangilia na kupenda Rangi Nyekundu ambayo ni ya Shetani kama ulivyomaanisha na kwamba Rangi ya Waislamu wote ni ya Kijani ambayo ni ya Mtume.