Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,099
- 2,881
Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo sioni umuhimu wa hii taasisi ya TAKUKURU, naona wanakula mishahara TU!!
Hatusikii kashikashi yoyote, yaani Takukuru imepoa sana sana sana!! Iondolewe tutafute njia nyingine!! Warn ukinipiga nitakupiga!!
Hatusikii kashikashi yoyote, yaani Takukuru imepoa sana sana sana!! Iondolewe tutafute njia nyingine!! Warn ukinipiga nitakupiga!!