Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,841
- 35,039
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!