Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,392
- 121,025
Wanabodi,
Uamuzi wa Chama cha Wananchi CUF, kuliachia jimbo moja la Kikwajuni kwa ajili ya Chadema kumsimamisha NKM wake Salum Mwalimu, hauwezi kupita hivi hivi tuu, bila kuungwa mkono na wote wenye kuutakia mema UKAWA.
Kwa vile siku zote CUF imekuwa ikisimamisha wagombea wake kwenye majimbo yote Zanzibar, baada ya kuasisiwa UKAWA, ilitegemewa hakuna Chama kingine chochote cha upinzani chenye nguvu Zanzibar zaidi ya CUF, hivyo kitendo cha CUF kulireserve jimbo la Kikwajuni, ni uthibitisho wa kukubali ku sacrifice moja ya majimbo yake kwa ajili ya UKAWA, katika kitu kinachoitwa 'win win situation' kwa CUF kukubali kujishusha na ku scratch Chadema's back huko Zanzibar, sasa it is up to Chadema to scratch, CUF's back huku bara!.
Hili la Salum Mwalimu, nilianza kulizungumza hapa na nilisema hivi
Kisha tembeleeni uzi huu [h=1] Swali la Kisiasa: Ni Mkakati na Uamuzi Mzuri UKAWA Kuachiana Majimbo?[/h]wa Mkuu Mzee Mwanakijiji, angalieni tarehe, mimi nilichangia hivi,
Hivyo wanabodi, tunapochangia humu jf, tusifikiri tunajichangia tuu, na baada ya kuchangia mambo yote huishia humu humu, it is not that way, baadhi ya wakuu wa vyama vya siasa na watendaji wa vyama, wanapitiamo humu jf na kujikotelezea mawili matatu, hivyo tujijue watu wanaifuatilia sana jf na kuzingatia baadhi ya maoni yanayotolewa humu.
Hungera sana CUF kujitoa, Hongera sana Chadema kwa kupata jimbo kisiwani Zanzibar!.
Hongera Salum Mwalimu!, hili ni jembe!.
Pasco

Msingi mkuu wa UKAWA ni mashirikiano! kwa lengo la kuleta umoja!. Ni matumaini yangu kuanzia sasa hadi uchaguzi mkuu, kila chama kinachounda UKAWA kikifanya mkutano wowote wa hadhara, UKAWA lazima uionekane!.
Mfano mmeamua kusimamisha mgombea mmoja kila jimbo hadi urais, CUF imekuwa ikiihodhi Pemba na sehemu Zanzibar, jee kuna uwezekano wa CUF kikakubali kulipisha moja ya majimbo yake ya Zanzibar ili Salum Mwalimu agombee kwa Chadema?!.
Pasco
Kisha tembeleeni uzi huu [h=1] Swali la Kisiasa: Ni Mkakati na Uamuzi Mzuri UKAWA Kuachiana Majimbo?[/h]wa Mkuu Mzee Mwanakijiji, angalieni tarehe, mimi nilichangia hivi,
Kwa maoni yangu, lazima UKAWA wakubali kutengeneza 'electability barometer' ya kuwapima wagombea wa vyama vyotevinavyounda umoja huo!. Mfano jimbo la Michenzani, linashikiliwa na CCM kwa sababu CUF ilisimamisha mgombea weak ile 2010, na 2015 watanleta tena yule yule mgombea dhaifu na CCM italitwaa tena. Lakini Chadema sasa inae mtoto wa Maghorofa ya Michenzani, Salum Mwalimu, akisimama, CCM inakwenda chini. 'electability barometer' itaonyesha uwezekano wa mgombea wa CUF kushindwa na uwezekano wa Salum Mwalimu kushinda, then CUF watawajibika kuiachia Chadema jimbo hilo!.