MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
XXL ndio nini?
yawezekana mkuu kasoro wachache tukwa hiyo mkuu unamanisha wote wanaoimba RnB ni mashoga?
mkuu sisi wanasayansi tuna enda na proof. wewe kama uliwaangalia vinyeo vyao ukaona vipo wazi vimepwaya kabisa ukiwa na udhibitisho wa picha hapo nitakubali.yawezekana mkuu kasoro wachache tu
Amplifaya ya zaman co ya sasabila kusikilza amplifaya siku yangu haijaisha
ha ha ha ha babuu!Kuna vipindi vya kusikiliza vinavyoendana na umri wa mtu..Usimshambulie kama ni wa Bozouk basi yeye ni Bongofleva na pengine umri wake ni 17years..maana humu siku hizi tupo na wajukuu zetu.
Ukiwa mfuasi ndivyo ilivyo mkuu,so sikushangaiiKennedy the remedy yupo poa kabisa,labda ww tu una yako
Mi sio mfuasi hata kidogoUkiwa mfuasi ndivyo ilivyo mkuu,so sikushangaii
Unajifariji kijinga, eti mavi nilojipaka yatakauka tu na harufu itaisha mmmffyyyyy, HUPASWI KUCHUKIWA.Kennedy yuko fresh tuu na kafit kabisa pale
Anyway huez pendwa na kila mtu
Wewe ni mfuasi wa clouds fm,so sishangaiMi sio mfuasi hata kidogo
Mkuu nielewe mi sio mfuasi wa clouds,Kennedy nimeanza kumsikia toka yupo East Africa,labda kwa taarifa yako sijawah kukaa kumsikiliza akitangaza clouds kwa zaid ya dkka 2,yani sina muda wa kusikiliza hcho kipindi anachotangazaWewe ni mfuasi wa clouds fm,so sishangai