Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,320
11,690
Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia watashindwa vibaya mno uchaguzi mkuu2025.

Kama hiyo haitoshi, ubinafsi, kutokuaminiana, uchu na uroho wa madaraka na vyeo, kutokuelewana wao kwa wao as opposition, kutokua na sera na mipango yenye sauti na uelekeo wa pamoja kama upinzani Tanzania, kutawafanya daima wawe dhaifu na kibogoyo zaidi, dhidi ya CCM imara inayoendelea kujizatiti mamlakani na inayoendelea kuimarika sana kila ichwao, chini ya mwenyekiti wake mahiri na madhubuti sana Comrade, Dr.Samia Suluhu Hassan.

Maandamano yamedoda sana na yamedorora mno aise :pedroP:
 
Huwa nashindwa kuelewa watu aina yako..sasa kama ccm ni imara kwa nini hupata hofu inapofikia uchaguzi mi sijaiona hoja. . NB sina chama
maoni, mtazamo na maono yangu dhidi ya siasa za Tz, kupitia chama hicho visikupe muhemko, tashwishi wala mchecheto 🐒

chama Imara ni Imara tu na kile dhaifu daima ni dhaifu tu....

my friend,
ni kujipanga tu 🐒
 
Eti ukute YANGA inawashauri Simba jinsi ya kupata kikosi kizuri Ili waifunge Yanga. Si itakuwa maigizo hayo!!??

CCM hii inayoshindwa kuendesha nchi kwa ufanisi ndiyo inaweza kuishauri CHADEMA iwe imara, Ili iweje!?
 
kama kawaida Simba kuzungumza mambo ya Yanga hadi hadi wanajusaha pap Al-Ahly Cairo hii hapa 🤣

kama Chadema tu kutwa kuchwa tena kwa mihemko yenye mitusi ndani yake wanaizungumzia na kuilalamikia CCM, wanasahau chama chao....

mara pap uchaguzi hua hapa wagombea wake hawajulikani, sera zake hazijulikani ispokua ni maandamano tu 🤣

wakishindwa zinaanza ng'weng'we meibiwa, kumbe hujulikani 🤣
 
Kama hiki mlichokifanya 2020 ndio mnajivunia kwamba ni ushindi mkubwa na kujifariji CCM inakubalika na 2024& 2025 basi naamini ile kauli Tanzania kwa sasa ina wagonjwa wengi wa akili.
IMG_20201105_142029.jpg
IMG_20201028_173703.jpg
 
Hili liko dhahiri,chadema ni malimbukeni tu,mikutano imejaa walevi wa visungura,we angalia mkutano wa ccm yaani watu wanajiheshimu,angalia mkutano wa sugu watu wamevaa minyororo kama mbwa wa marehemu kingunge.
 
Maandamano yamekwisha pitwa na wakati. Vijana wapo busy kupambana na kutafuta pato la Kila siku

Hao wanatumia fedha nyingi kusafirisha watu kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine waonekane Kuna watu wengi.

Watu wanawashangaa wanaowaona kama wanafanya jogging tuu
 
Kama hiki mlichokifanya 2020 ndio mnajivunia kwamba ni ushindi mkubwa na kujifariji CCM inakubalika na 2024& 2025 basi naamini ile kauli Tanzania kwa sasa ina wagonjwa wengi wa akili.
View attachment 2973130View attachment 2973133View attachment 2973129
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea, zubaeni na yaliyopita ndio msikilizie kichapo cha mbwa koko kwenye debe 🐒

ukibogoyo wa upinzani kisera na kimkakati ulizaliwa 2020 sio? na ndio mnaendelea nao mpaka Sasa, na kwamba maandamano ndio yatawarudisha kwenye reli 🤣

ndio ulowafanya mkawa laini Zaidi ya maini kulingana na maoni ya chairman Taifa sio 🐒
 
Maandamano yamekwisha pitwa na wakati. Vijana wapo busy kupambana na kutafuta pato la Kila siku

Hao wanatumia fedha nyingi kusafirisha watu kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine waonekane Kuna watu wengi.

Watu wanawashangaa wanaowaona kama wanafanya jogging tuu
yaani wanasafiri safari ndefu, wanafika wamechoka, halafu wanatembezwa kilometer 50 kwa mguu 🤣

ukimtizama kijana kachoka, njaa na kiu vimembana anatamani hata kulia 🤣
 
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea, zubaeni na yaliyopita ndio msikilizie kichapo cha mbwa koko kwenye debe 🐒
Yaani watu kuiba kura it is crystal clear unasema ni ujinga ilhali ushahidi wa video na picha upo??
Ushindani halisi ni uwanja kuwa sawa CCM mmefanya sugar coating ya tume ya uchaguzi kwenda tume huru ila haina uhuru kutokana na mfumo wa kuwapata mwenyekiti, mkurugenzi wa hiyo tume.

Na suala la wakurugenzi kusimamia uchaguzi na hii chain yote ni wateule wa incumbent president unatarajia nini?
ukibogoyo wa upinzani kisera na kimkakati ulizaliwa 2020 sio? na ndio mnaendelea nao mpaka Sasa, na kwamba maandamano ndio yatawarudisha kwenye reli 🤣
You're writing this from a position of severe ignorance.
ndio ulowafanya mkawa laini Zaidi ya maini kulingana na maoni ya chairman Taifa sio 🐒
 
Yaani watu kuiba kura it is crystal clear unasema ni ujinga ilhali ushahidi wa video na picha upo??

Ushindani halisi ni uwanja kuwa sawa CCM mmefanya sugar coating ya tume ya uchaguzi kwenda tume huru ila haina uhuru kutokana na mfumo wa kuwapata mwenyekiti, mkurugenzi wa hiyo tume.

Na suala la wakurugenzi kusimamia uchaguzi na hii chain yote ni wateule wa incumbent president unatarajia nini?

You're writing this from a position of severe ignorance.
jitahidini muwe na camera nyingi zaidi ili mreko picha na video nzuri zaidi endeleni na maandamano 🐒

wale wa kujizatiti na kujipanga vizuri zaidi kunadi wagombea wake, ilani na mikakati yake ili kusudi kushika dola, kuunda serikali na kuongoza nchi na wanainchi wake nao wasonge mbele kwa bidii 🐒

wa mihemko kama wewe, ati ndio mwerevu tutaendelea kukupepea mpaka uache kuweweseka na kujiandaa kuibiwa kura ambazo huna 🤣
 
Back
Top Bottom