Kwa comb ya EGM unaweza soma kozi gani nzuri wadau Ushauri

Nasikia Actuarial science wanakuwa ma-Economic Advisers.....nilishangaa kuona kozi kama hiyo Ni 'Non Prior ' kwa Taifa....au wameandika Tu vitabuni???kwa sababu nimecheki katika TCU -Guide Book 2015/2016....
Au wameandika tu???NAOMBA NIELEWESHWE!
 
ni prior labda umeona vbaya
 
Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha sita mwaka huu,na nikiwa katika utafiti wa course mbali mbali ambazo zikomarketable,niliona baadhi ya course na nimetokea kuzipenda sana.Naamini nimefanya vizuri sana kwenye mtihani wangu,sasa naomba ushauri kwani ninampango wa kujaza the following courses;

1.Agricultural and natural resources economics and business(UDSM)

2.Actuarial science (UDSM)

3.Architecture (Ardhi)

4.BAF(Mzumbe)

5.law(UDSM)

6.Environmental science (SUA)

7.computer science(UDSM)

8.Information systems security (UDSM)
 
Soma Bachelor of Science in Land management and Valuation-Chuo kikuu Ardhi..
 
we kichaa nn uandsh wakuchat unaendanaje na wapepa...ndowalewale

Asante kwa kuniita kichaa dogo.

Hapa unachati na nani?

we utakua ulikosa chuo mwaka jana,karibu tuapply ila kua makini 3 haziendi chuo kikuu

Hapa umeanza kunielewa kwa mbali, siyo mbaya.

Mkuu una Div ngapi? Huwezi kushauriwa kozi gani kama matokeo hayajulikani.
 
Asante kwa kuniita kichaa dogo.

Hapa unachati na nani?

Hapa umeanza kunielewa kwa mbali, siyo mbaya.

Mkuu una Div ngapi? Huwezi kushauriwa kozi gani kama matokeo hayajulikani.
ahaa kumbe unajua matokeo ndo yana-determine course,sasa uandishi wangu unaingiliana vp na kupangiwa chuo?ww ndo unakosa mkuu
 
ahaa kumbe unajua matokeo ndo yana-determine course,sasa uandishi wangu unaingiliana vp na kupangiwa chuo?ww ndo unakosa mkuu

Taratibu unaanza kunielewa, maana kwa ulivyoandika sasa unaeleweka kidogo.

JF ina culture, moja ya culture ya JF ni mwandiko, humu hatutumii sauti, hivyo jinsi tunavyoandika ndivyo tunavyoeleweka.

Unaweza ukakosa mtu wa kukueleza swali lako kwa jinsi tu ya ulivyoandika, anaona huyu hawezi kuwa wa kutaka kwenda chuo, kumbe ni vile tu hukufata kanuni za uandishi wa mahali husika.

Utakubaliana na mimi kwamba kupitia michango mbali mbali humu JF hakuna watu wanaoandika kama ulivyoandika pale mwanzo, na wakiandika tu watu wanawaambia humu siyo FB nk nk.
 
sawa nimekuelewa mkosoaji wa JF,ulipaswa kuniambia rekebisha uandishi wako maana sioni kama uandishi wangu unahusiana vipi na selection za vyuo kwa upepo huu wa magufuli
 
Bsc In Agriculture natural resources Economics and business (UDSM) pia ni nzuri sana kwanza ndio kwanza mpya nyie mtakuwa wa pili
 
Naona umenielewa sasa mkuu.

Nimekuelewa na nimesema asante kwa kunielewesha.

Back to the topic, ufaulu wako ukoje?

Maana hili ndilo la kwanza kabla ya kumshauri mtu ajaze nini na chuo gani.
 
Nimekuelewa na nimesema asante kwa kunielewesha.

Back to the topic, ufaulu wako ukoje?

Maana hili ndilo la kwanza kabla ya kumshauri mtu ajaze nini na chuo gani.
Matokeo bado,ila I hope yatakua mazuri tu....kwenye ufaulu wala hakuna shida mkuu.....
 
Back
Top Bottom