Kwa CCM ni haki kabisa: m/kiti na katibu TUCTA ni makada wa CCM, tusahau kuiwajibisha serikali

Huyu ni katibu mkuu wa Tucta bwna Yahaya Msigwa akichukua form ya kugombea wakati wa mchujo (kura za maoni) Iringa kwa tiketi ya CCM tusitarajie chochote ni sawa na kuwachukua kina Mwakyembe useme waikosoe serikali yao.

Kwa ufupi TUCTA ni sawa na viti maalum vya ccm ndani ya bunge.


View attachment 498915

Siku TUCTA akitaka kugombea mtu ambaye hana Chama au ni mwanachama wa Upinzani utasikia nakuona SARAKASI za akina Mwakyembe nyingi sana
 
TLS ni chama cha wanasheria pia, povu lilikuwa la nini pale Lissu alipogombea mpaka waziri na bosi wake wanatamani kuji "Iringa"?
TLS haitakiwi itumike kisiasa. Ndiyo maana Lissu mpaka leo hajaweza kuleta mbwembwe zake za.kikamanda
 
Hahaaa hahahaaaaaaa ccm wanapenyeza mamluki mpaka kwenye chaguzi za vikoba kuna member aliandika siku moja
 
Back
Top Bottom