Kwa bajeti ya Milioni 30, naweza kuhamia nyumba yenye sifa hizi?

Hujadadavua vizuri mkuu, vyumba vinne vya kulala? Prayer room, office, dinning sitting, jiko na vyoo? na fence vyote kwa 30m?
Vyumba vya kulala vinne vya kulala mkuu.

Yap vyote kwa 30m

Ila peayer , ofisi, vyumba vya kulala viwili sitavifanyia furinishing kwwnza, ukuta pia sita upiga rangi
 
Back
Top Bottom