Kwa anaejua anisaidie

Inatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.

 
Ahsante ,msomi utamjua bwana anauheshimu mdomo wake, awezi kutukana kwake ni mwiko. Sasa wale ziro vat duh utakoma mwenyewe mhhhh.
 
Mungu atakupa kadri aonavyo ni sahihi kwako.. Usimuombe mungu mapacha mwmbie mungu naitaji mtoto.... Yeye anajua kuliko wewe atakupa unchostaili kupata.
 
Wanasema ukila viazi vitamu (sweet potato) kwa wingi, unakuwa na chance kubwa ya kupata mapacha.
Na pia kama kwenye familia au ukoo wenu kuna mtu amezaa pacha, basi unakuwa pia na opportunity kubwa ya kupata pacha..
-stunter-
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…