Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,568
- 13,543
Unajuaje kama hawana!!!....Hoja ya kijinga sanaa, eti Israel hawana katiba. Je Israel kuna viongozi wanaovamia vituo vya habari na bunduki , kuwa na vyeti feki, bajeti ya kuungaunga, etc?

Nadhani we ndio huna akili kushindwa kulewa kwamba huwa kunakucompare situation moja na nyingine. Nadhani utakuwa ndugu yake na bashite wewe.Wewe Hauna Akili! Umeshasema Wakenya, na sisi siyo Wakenya hivyo hoja yako haina maana!
Wewe mwehu kabisa, walioweka zuio siyo mahakama Bali madaktari walipofungua KESI inahusika na swala ajira za madaktari.Afrika Mashariki nchi hizi zote kuna mambo mengi ya hovyo yanayofanywa na watawala sababu hii inafanya raia wengi kuzidi kuzama kwenye lindi la umaskini wa kunuka.
Lakini Kenya mazuri yapo hasa kwenye mifumo yao kutoingiliana kiutendaji serikalini na raia kupigania haki zao za msingi.
Kenya baada ya madaktari kudai waongezewe mishahara serikali ikatishia kuajiri madkatari kutoka Tanzania, kwa Tanzania ilishakubali kuwapa Kenya madaktari japo Tanzania kuna upungufu wa idadi kubwa na uhitaji wa madaktariu huko kwenye vituo vya afya lakini mahakama nchini Kenya ikatoa zuio kwa kutoa hoja nzito ya madaktari wengi waliopo Kenya wanaosubiri ajira hivyo serikali ya Kenya ikaona hakuna namna hivyo kuamua kuwaskiliza tu madaktari ili wasitishe mgomo na kurejea kazini kwa kuwatimizia mahitaji yao.
Huu ni mfano mmoja lakini yapo mengi Kenya yanayofanyika na mahakama inakuwa suluhisho la kutoa haki tofauti na Tanzania kimsingi Kenya mahakama inaamua kwa uhuru zaidi ya Tanzania.
Sasa kuna hili zuio la harakati za kisiasa na maandamano Tanzania hadi mkuu wa nchi hiyo atakapoamua tu yeye kuruhusu tena, kwa Kenya hatua kali za kisheria zingeshachukuliwa kupinga zuio la mtindo huu linalovunja katiba ya nchi.
Hata mahakama kwa Kenya ingeshalifutilia mbali zuio la namna hii achilia mbali raia kuandamana kila wiki hadi pale wapate haki yao ya msingi.
Watanzania wamelala usingizi mzito kwenye lindi la umaskini unaozidi kutamalaki na kutoa nafasi kwa watawala madhalimu kufanya watakalo kwa maslahi yao hali Wakenya wanapiga hatua tu kila kukicha na hawako tayari kuwaacha watawala waamue hovyohovyo.
NB:
SHAMBULIA HOJA USISHAMBULIE MTU YOYOTE AU MTOA MADA.
Wewe ni kichaa? Tanzania siyo Kenya bhanaa!Pole sana ndugu nakusamehe bure tu sababu hujui utendalo bali unafikiria tumbo lako tu ule uende chooni.
NB:
SHAMBULIA HOJA USISHAMBULIE MTU YOYOTE AU MTOA MADA.
Tujadili kwa staha basi mkuu.Wewe mwehu kabisa, walioweka zuio siyo mahakama Bali madaktari walipofungua KESI inahusika na swala ajira za madaktari.
Wehu wako kuhitaji maandamano yakipumbavu yasiyo na faida. Kama hujaolewa nakushauri uhamie huko Kenya ili ukaandamane vizuri.
Pole kama umekwazika kwa hoja iliopo kwenye hii mada aya turudi kwenye hoja kuu mezani.Wewe ni kichaa? Tanzania siyo Kenya bhanaa!
Comment yako INA maksi nyingi sana , hongera sana!Kumbuka islael hawana katiba kwa hiyo katiba siyo issue Ila upinzani pale utakapoachana na akina sugu basi nchi itasonga. Naamini juzi hawakuambulia chochote kutoka kwa prof kabudi hata mbowe alikuwa anaona maluweluwe
Si ni chagadema? Unataka kuuliza 0 ya mbuzi wakati mkia umenyanyuliwa juu? CHADEMA IMEJENGWA KWA MISINGI YA KIKABILA MKUU. Kama hujui nenda kanye!CHADEMA, LOWASA vinaingiaje kwenye hii mada jamani?
NB:
SHAMBULIA HOJA USISHAMBULIE MTU YOYOTE AU MTOA MADA.
Uko nje ya mada mkuu ni vizuri kafungue uzi ueleze hayoSi ni chagadema? Unataka kuuliza 0 ya mbuzi wakati mkia umenyanyuliwa juu? CHADEMA IMEJENGWA KWA MISINGI YA KIKABILA MKUU. Kama hujui nenda kanye!
The finest lawyers wangelikuwa wanalala mahakamani.Wamekwama kwa kuwa sheria za Tanzania ni tofauti na Kenya.Afrika Mashariki nchi hizi zote kuna mambo mengi ya hovyo yanayofanywa na watawala sababu hii inafanya raia wengi kuzidi kuzama kwenye lindi la umaskini wa kunuka.
Lakini Kenya mazuri yapo hasa kwenye mifumo yao kutoingiliana kiutendaji serikalini na raia kupigania haki zao za msingi.
Kenya baada ya madaktari kudai waongezewe mishahara serikali ikatishia kuajiri madkatari kutoka Tanzania, kwa Tanzania ilishakubali kuwapa Kenya madaktari japo Tanzania kuna upungufu wa idadi kubwa na uhitaji wa madaktariu huko kwenye vituo vya afya lakini mahakama nchini Kenya ikatoa zuio kwa kutoa hoja nzito ya madaktari wengi waliopo Kenya wanaosubiri ajira hivyo serikali ya Kenya ikaona hakuna namna hivyo kuamua kuwaskiliza tu madaktari ili wasitishe mgomo na kurejea kazini kwa kuwatimizia mahitaji yao.
Huu ni mfano mmoja lakini yapo mengi Kenya yanayofanyika na mahakama inakuwa suluhisho la kutoa haki tofauti na Tanzania kimsingi Kenya mahakama inaamua kwa uhuru zaidi ya Tanzania.
Sasa kuna hili zuio la harakati za kisiasa na maandamano Tanzania hadi mkuu wa nchi hiyo atakapoamua tu yeye kuruhusu tena, kwa Kenya hatua kali za kisheria zingeshachukuliwa kupinga zuio la mtindo huu linalovunja katiba ya nchi.
Hata mahakama kwa Kenya ingeshalifutilia mbali zuio la namna hii achilia mbali raia kuandamana kila wiki hadi pale wapate haki yao ya msingi.
Watanzania wamelala usingizi mzito kwenye lindi la umaskini unaozidi kutamalaki na kutoa nafasi kwa watawala madhalimu kufanya watakalo kwa maslahi yao hali Wakenya wanapiga hatua tu kila kukicha na hawako tayari kuwaacha watawala waamue hovyohovyo.
NB:
SHAMBULIA HOJA USISHAMBULIE MTU YOYOTE AU MTOA MADA.
Kwanini unajieka kando? 'pambaneni'The finest lawyers wangelikuwa wanalala mahakamani.Wamekwama kwa kuwa sheria za Tanzania ni tofauti na Kenya.
Tanzania huruhusiwi kuandamana ukijisikia tu au kufanya mkusanyiko lazima uombe kibali kwa mamlaka.
Na hiyo ipo katika sheria,pambaneni kwanza na hiyo sheria badala ya kutulinganisha na Kenya