C chokodari JF-Expert Member Jun 2, 2015 1,357 1,171 Dec 25, 2024 #41 Nabii issa sio YESU acha uongo wewe,nyie waislam mna din yenu hebu acheni
Kanali_ JF-Expert Member Nov 18, 2018 6,079 9,643 Dec 25, 2024 #42 byeyombo said: Naomba kuuliza yesu alikuwa dini gani? Click to expand... Yesu hakuwa na dini, yeye ndo dini yenyewe (Kristo) na wanaomfuata (wafuasi wake) ndo Wakristo.
byeyombo said: Naomba kuuliza yesu alikuwa dini gani? Click to expand... Yesu hakuwa na dini, yeye ndo dini yenyewe (Kristo) na wanaomfuata (wafuasi wake) ndo Wakristo.