Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
5,674
9,129
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

"(Na kumbuka) pale Malaika waliposema: ‘Ewe Maryam! Hakika Mwenyezi Mungu anakupa bishara ya Neno litokalo kwake, jina lake ni Masihi Issa mwana wa Maryam, mwenye heshima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa waliokaribishwa (kwa Mwenyezi Mungu).’"
(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

"Mimi nitapataje mwana hali hajanigusa mtu yeyote?" Malaika akasema: "Ni kama hivyo. Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapohukumu jambo huliambia tu: Kuwa! Likawa."
(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

"Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Manabii wamekwisha pita kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli..."
(Surat Al-Ma'idah: 75)
 
Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.
Huyo Issa atakuwa mtoto wa Mungu tu, hamna namna!

Si Maryam unasema hakuguswa ila akaambiwa Mungu ndo atafanya?
- Kwahiyo Mungu akamuumba Issa tumboni kwa Maryam sio?

Na wewe ukajua kabisa kuwa ni Mungu na si binadamu yoyote aliyeona ndani kwa Maryam ndo Issa akazaliwa sio?

Kwahiyo Mama'ake Issa ni Maryam?
Baba'ake ni muumba wake, yaani Mungu sio?

Wahenga wakasema "mtoto wa nyoka ni mjusi sio?"

Aah, vyovyote tu, muhimu Issa atakuwa na DNA ya aliyesababisha mimba yake na ndio mzazi wake!
 
Ukifikiria sana utaumiza kichwa chako bure. Adam mama yake nani? Hawa mama yake nani
 
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

(Surat Al-Ma'idah: 75)
Nabii Issa siyo Yesu, msiforce mambo. Hata Allah ni tofauti na Yahwe (Mungu anayeaminiwa na Waisrael na Wakristo) msitake kufananisha wasiofanana
 
Kwanini mnafananisha maswaiba wenu na Yesu Kristo mkombozi wetu
Yaani hao masela wa Mo ndo wawe Yesu Kristu ambaye ni mwana wa Mungu na ana Uzungu ndani yake
 
Kama nabii Issa sio Yesu na Yesu sio nabii Issa..swali langu Huyu Yesu ni nani? na huyu Issa ni nani? kwa kuongezea hapo nipate tofauti ya IBRAHIM NA ABRAHAM.Nakama Ibrahim sio Abraham huyu Abraham ni nani na huyu Ibrahim ni nan? majibu tafadhali.
 
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

(Surat Al-Ma'idah: 75)
Issa siyo Yesu.
Ukitaka kuamini tafuta muislam Safi au hàta awe sheikh anayeitwa Issa, hàlafu umwite Yesu uone moto wake.
 
Hi
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

(Surat Al-Ma'idah: 75)
Zo ni hadithi tu za kutungwa na wanadamu, ndio maana hata kule mnaposema alizaliwa hawamtambui , pia ikaanzishwa propaganda kuwa wao ni wakaidi. Hizi dini mipango ya mwanadamu tu hakuna Mungu anaweza kutuma kiumbe yeyote kwa ajili ya mwanadamu dhaifu kabisa.

Yaani Mungu akae miaka kibao halafu aje agundue kuwa anahitaji kumtuma binadamu kwa ajili ya binadamu wengine kweli, labda huyo sio Mungu anayezungumzwa uwezo wake.

Mungu anaishi kwenye kila chenye uhai na ndio uhai wenyewe, mwili ni chombo tu kama radio na studio.
 
Kama nabii Issa sio Yesu na Yesu sio nabii Issa..swali langu Huyu Yesu ni nani? na huyu Issa ni nani? kwa kuongezea hapo nipate tofauti ya IBRAHIM NA ABRAHAM.Nakama Ibrahim sio Abraham huyu Abraham ni nani na huyu Ibrahim ni nan? majibu tafadhali.
Nabii Isaa hakusurubiwa aliywaliwa lakini Yesu Kristo alikufana na baada ya siku tatu akafufuka!
 
Back
Top Bottom