Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
President Magufuli is vigorously fighting for Tanzanians and Africans at Large, His PhD is exactly at proper battle field, it is a Chemistry PhD of thinking and reasoning,if there is any doubt I would rather give it's benefit to President Magufuli,never trust a white Man, to support my points please look into the following quotations of Bill Gates "We must depopulate Africa to save Europe" "The Continent will be devastated by African refugees" unless severe and immediate action is taken,The billionaire was suggesting that the mass influx of migrants into Europe from Africa is threatening to overwhelm countries in Europe that have welcomed Globalism.
The advanced World economy System is designed to Create Chronic Disease.There is no money in being healthy.There's no money in being dead.All the money comes to the pocket when you are chronically ill.
Tafsiri: Mfumo umeundwa kuunda Magonjwa Sugu. Hakuna Pesa kwa ajili ya Afya za Watu. Hakuna Pesa kwa ajili ya Mtu aliye kufa. Pesa zote ni kwa ajili ya kuunda Magonjwa sugu yasiyoweza kutibika na tunapata pesa baada ya watu kuwa wanaumwa magonjwa sugu yasiyoweza kutibika, Tujiulize je mlipuko wa ugonjwa wa corona ni ajali ya bahati mbaya katika maendeleo hayo ya kutengeneza dawa ya kutibu magonjwa yasiyo tibika!?
Was an error in the advanced technology!? or is it purposely made as a biological weapon!? Niwaulize ndugu zangu wa mitaa ya uswahilini Dar es Salaam, hivi umeusikia tena ugonjwa wa kipindupindu? Je uchafu na nzi wameisha mitaani kwetu,jibu unalo,kipindu pindu kilikuwa kinatengenezwa kwa maslahi ya watu.
-Kwa nini chanzo cha kirusi kipya cha corona chenye nguvu zaidi kiibukie Afrika Kusini?
Kirusi kila siku kinakuja kipya tena kikiwa advanced kuliko cha kwanza bado tu hujiulizi ni kwanini kinakuwa hivyo?? Kwa nini kila kirusi kinachogundulika kinakuwa kikali kuliko cha kwanza? Ni nini basi kama si kutengenezwa maabara kwa makusudi kwa ajili ya watu fulani.?halafu hatujiulizi kitu kuwa kama kirusi kila siku kinakuja kipya na chenye makali zaidi ya cha kwanza je utakuwa unapigwa chanjo ngapi ili kuendana na kasi ya kirusi?
Maana kila siku kinakuwa advanced,itakubidi uwe unapata chanjo kulingana na upya wa kirusi daah!!,kila siku tutachanjwa na kila siku tutaendelea kutoa mahela kununua chanjo mpya huku watu wakitajirika wao kazi yao itakuwa tu ni kubuni chanjo mpya na kirusi kipya na kuendelea kupiga hela, Miaka ya 1965 ulizuka pia ugonjwa wa small pox, tukaletewa michanjo wee baadae Miaka ya 1970 ukaisha tukabaki na mideni yetu ya madawa tuliyoletewa na wazungu.
Wazungu wanasema kuna kirusi kipya cha corona kimekuja,hebu tuingie mitaani tuone watu wanavyoishi na kirusi kipya,Sasa tupo mitaani na tunajionea huu ugonjwa ulivyo wa propaganda na kupewa promo, Mungu nae anawakomoa wazungu anajua nia yao ni mbaya,anawarudishia wao ugonjwa huo sawa sawa na makusudi yao walivyotaka Waafrika wafe,na kwa akili zao walijua waafrika tutapanic cha ajabu wabongo hata habari hawana, WHO wanasema tujiandae kupokea chanjo,
Kisayansi mtu akipata chanjo ya ugonjwa fulani ina maana huyo mtu hawezi tena kusumbuliwa na huo ugonjwa, Sasa hao wazungu kama wamepata chanjo ya covid19 na iko kirusi kipya si wajichanje wao wakija Africa hawataweza kupata corona na sisi tukienda huko hatutawambikiza corona kwa sababu wao wameshachanjwa!?
Sasa kwa nini watulazimishe na sisi tuchanjwe, Rais Magufuli yupo sahihi, hii ni biashara ya mabeberu,We conclude,covid 19 is not contagious as it said Tanzanians have been going on with their businesses since April 2020, no lock down no whatevee and if it was, we would have been seeing deaths in the street in their numbers but it is not like that, if thousands are dying in America and Europe then God is with Tanzanians.
Let's continue believing in Him, God saved us from covid 19 He will save us again with the new strains,corona 20,And if there a second insurgency of the virus, that is another case and I would urge scientists to find out why is Tanzania not suffering like other countries, they might come up with an idea that locking down someone is putting him/ her in danger as the body becomes idle putting the virus better environment to attack body tissues.
Kinga kubwa kabisa ya Corona kwa sasa ni kuendelea kufuata masharti ya wataalamu wa afya pamoja na kuwaweka watu sawa kisaikolojia kwa kuepusha matangazo ya kipumbavu yanayoweza kuwasababisha wakataharuki.Hii ni pamoja na kukwepa vitu kama lockdown.
- Tafakuri yangu juu ya Chanjo ya Corona.
Tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetic genetitically coded mRNA to instruct our DNA in our cells to produce certain proteins which they think might protect or cure certain diseases including cancer disease, Utafiti wa kutumia synthetic mRNA kutibu au kukinga magonjwa ya cancer, rabies, zika etc ni wa siku nyingi, Dawa au chanjo za magonjwa hayo zilizalishwa lakini hazikuweza kupata approval ya FDA,Kwa sababu ya taharuki ya janga hili la covid - 19 FDA imezipa emergency approval dawa/ chanjo hizo za mRNA,Hazijapitia hatua zote za mchakato za usalama kama inavyotakiwa kisayansi,Nawasihi wataalam wetu na Madaktari bingwa wa kurejea Utafiti wajiridhishe if it works for many it's ok,
Chanjo za covid 19 zinazotengenezwa China na Urusi ndizo chanjo halisi zinazotumia live attenuated sars- cov-2, kirusi kinachosababisha covid-19.Urusi na Uchina kamwe haziwezi kutumia hizo chanjo za mRNA kutoka Pfizer/ BioNTech.Ni kipi cha ajabu Tanzania chini ya rais mwanasayansi wa level ya PhD kuzikataa au kuzitilia mashaka hizo chanjo zao za mRNA.
Kama tutaamua kuchanja tutatumia chanjo toka China au Russia kwani hizo hazichezi na DNA zetu.China kwa sasa wanatumia kinyesi kupima corona,chanjo zinazotumia live attenuated viruses ni rahisi kuzi verify,Hizo za mRNA huwezi ukatambua code(ujumbe) zilizobebeshwa hizo RNA,itakuwaje hizo mRNA zimekomandiwa mwafrika aishi miaka miwili halafu apate tena kirusi kipya cha corona awamu ya tatu!?
Nimalizie kwa kusema taharuki hii kwa nchi za Afrika ndiyo wazungu wanataka ili wapate watu wa kujaribia dawa au chanjo za ugonjwa huu na pia kupiga pesa,Mwanasayansi Rais Magufuli kawagusa penyewe,ndiyo maana hawakuchelewa kubwabwaja - mara oh jiandae kupokea chanjo za msaada (lakini mkopo) za mRNA etc.
Halafu kanisa linamleta Padre kwa uropokaji wake,apigie chapuo chanjo hiyo,Ugonjwa huu hauna tiba wala kinga,Nchi ilikuwa imetulia imejiweka mikononi mwa Mungu,ghafla Padre anasema tunatembea pekua juu ya mbigiri sijui tuvae barakoa,social distancing na lockdown ndiyo za maana,Wazungu wamefanya hivyo hazikusaidia chochote.
Sweden hawakufanya hivyo kama sisi and are much better! Waafrika waliouawa kwa risasi kwa sababu ya kukiuka masharti ya lockdown ni wengi kuliko waliouawa na corona,tusicopy kila kitu toka kwa wazungu,Mungu anayo sababu kuiokoa Tanzania iliyojiweka mikononi mwake,Wazungu walisema tutakufa kama kuku mtaani kwa sababu hatuna uwezo wa kununua mashine za kupumulia zinazouzwa Milioni 50,Mungu anayo sababu kuwafundisha wazungu warudi kumtumaini Mungu kama Tanzania ilivyomtumaini Mungu Mwaka 2020 na Mungu alivyoiondoa corona juu ya ardhi ya Tanzania,Jina la Bwana Mungu wetu libarikiwe sana,Amina.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.